Sooth
JF-Expert Member
- Apr 27, 2009
- 3,928
- 5,615
Ubunifu usizidi sana. Kuna mtu mzima fulani(mwanamke) takribani miaka 4 iliyopita alimng'ata mumewe ulimi wakati wapo kwenye korasi (chorus)! Sasa swali la kujiuliza ni kwamba watu wameoana kwa miaka mingi tu, iweje ghafla bin vuu udate kiac cha kumng'ata mwenzio? Jibu ni ubunifu kupita kiasi!