ukweli kuhusu KLOROKWIN

afrodenzi

Platinum Member
Nov 1, 2010
18,145
9,215
Mabibi na ma bwana
Ningependa kuchukua nafasi hii kuwaeleza
Ukweli kuhusu huyu mtu..

Huyu mtu maneno yake na jina lake
Yanaendana kama

Samaki na maji
mizizi na ardhi
Wanyama na oxygen

Huyu mtu kweli ni tiba kama jina lake
kila atakacho andika kina ucheshi ndani yake..
Klorokwin please keep doing what your doing
Coz we need people like you here ...

asante sana kwa kutufanya tuwe tuna tabasamu kwenye
Screen ya computer....
 
mmmmh!!!!!!
 
Ha ha ha ha, AD leo ni siku ya
kumpamba klorokwini sio!!
Klorockwini hoyeeeeeeeeeeeeee!!!!
 
lol mi nilifikiri klorokwin dawa kumbe mtu!!!!!!!!
bt anaact km dawa yenyewe good!!!!!
 
Bado sijamcheki MR,
Nina mashaka atakuwa na homa ya tumbo la kuhara,
Manake yale mapointi ya jana yalimfanya afumbuke macho!!

Kwi kwiii mpe pole wala asihare mwaya mwambie aache Ubwege lol utu uzima dawa :lol::lol::lol::lol: asipelekeshwe ni kabinti sawa na mtoto wake :lol::lol::lol:
 
Leo ni siku ya SHAROBARO Klorokwin duniani, AD hivi klorokwin expire date yake ni lini? Hapa naongeza wawili (Uporoto na Hashycool) kumaliza siblings wa SHAROBARO Klorokwin.
 
Leo ni siku ya SHAROBARO Klorokwin duniani, AD hivi klorokwin expire date yake ni lini? Hapa naongeza wawili (Uporoto na Hashycool) kumaliza siblings wa SHAROBARO Klorokwin.

heh kumbe hata kwenye usharobaro yumo .......
 
Ndio SHAROBARO wetu hapa, ngoja siku umuone anakimbiza mwizi utacheka:lol::lol:

hahahahah ndo wale wale wanaokimbiza mwizi wakisema kimbiza mwizi men...........na mkono mmoja umeshikilia trouser... teh teh
 
Aisee hili li tablet lenzangu leo naona zali limemwangukia.

Mai Dia Felo tablet popote ulipo, haya maujiko naomba tuyafanyie sharing....Ukitibia malaria ya AD hakikisha unakibwatua kichwa chake kwa maumivu ili aje kwangu nimpe Asprin za kutosha.

Aisee nasikia wivu sana kwanini kidonge mwenzangu apewe ujiko peke yake? AD ukipata maumivu ya kichwa usinitafute kudadadadadadadeki!
 
Hahaha
Leo siku yake
Anameremeta
jamaa anajua kutuchekesha sana llol

Aisee kumbe kidonge cha klorokwini kina jinsia ya kike? Sikujua swahiba kaenda kwenye unajimu.

Asprin ina jinsia ya kiume....haina siku zake!!!!!!!!!!:juggle::juggle:
 
Leo ni siku ya SHAROBARO Klorokwin duniani, AD hivi klorokwin expire date yake ni lini? Hapa naongeza wawili (Uporoto na Hashycool) kumaliza siblings wa SHAROBARO Klorokwin.

Partner s in crime
TF mpenzi hata na wewe kundi lao
Hahahha lol
 
Back
Top Bottom