ukweli kuhusu KLOROKWIN

hahahahahaha nimecheka sanaa, hivi vidonge viwili ni balaa!
we malizia kucheka, halaf kama jinsia yako haiko katika katiba ya pharmacy au at least maternity ward, utatakiwa kuikimbia sredi haraka iwezekanavyo kabla hatujaripoti kwa mod. asante kwa ushirikiano
 
Copy that my fellow kidonge....let them die tubakie sisi wawili tuwatibie them waota nyonyo nachuro!
pia tunawashkuru mod kwa kutambua umuhimu wa hizi tiba na kuamua kuziweka huku JF dokta. hivi hakuna mod wa hii jinsia tunayotibu? just kyurias. hakyanani ukipata zali la kumtibu mod haupigwi ban hata ukimtukana slaa na kikwete at the same thread.
 
hapa ni JF dokta, mnatakiwa kuonesha shahada zenu za nzumbe kabla kuchangia post yoyote.

Shahada ya mtaani inatosha kutambua kwamba KLOROKWINI ni dawa isiyo halali!Labda kimagendo kama dawa za kulevya so it got business being here!
 
Back
Top Bottom