ukweli kuhusu KLOROKWIN

heheheh ulikuwa hujui kesho nakutaarifu na wewe itakuwa siku yako okay???understood??? Kanunue suti kabisaa na perfume...mi ntakuletea mauwa na card hehehe.... Kazi moja tuu,,,
Ohooo!!! Kumbe kesho katavi atakuwa kwenye siku yake:lol:
 
na wewe yako tarehe 20,,,,hehehhe mwaka huu lazma mnenepe tena nini mnachotaka,,,,kila mtu keshakuwa na siku zake sasa msifanye tena fujo,,,,,, tumewatunuku mwaka huu,,,heheheh,,
ohooo!!! Kumbe kesho katavi atakuwa kwenye siku yake:lol:
 
Asalaamu aleikum....bandugu bapendwa!!

Naona bado tupiga jalamba tu...Bwana harusi kapotelea kwenye nyumba za wageni....Kazi kweli kweli!!

Afadhali mie nimeukana ubabu...sitaki kuwa kuitwa mwanga kama yule wa Loliondo!!
 
Chat room = Chit -Chat ipelekeni huko tukachat vizuri.

Nawasalimu tu hamjambo woooote wazee wa CR?
 
:a s 13::a s 13::a s 13:
A%20S%2013.gif
HEHEHEH BELEAVE WHAT EVER HAPPEN FROM NOW ON,,, DONT BE SUPRISSE WITH ANYTHING,,HEHEHEH,,
 
Asalaamu aleikum....bandugu bapendwa!!

Naona bado tupiga jalamba tu...Bwana harusi kapotelea kwenye nyumba za wageni....Kazi kweli kweli!!

Afadhali mie nimeukana ubabu...sitaki kuwa kuitwa mwanga kama yule wa Loliondo!!
Lol!!! DC Klorokwin anataka ubabu
 
Aisee hili li tablet lenzangu leo naona zali limemwangukia.

Mai Dia Felo tablet popote ulipo, haya maujiko naomba tuyafanyie sharing....Ukitibia malaria ya AD hakikisha unakibwatua kichwa chake kwa maumivu ili aje kwangu nimpe Asprin za kutosha.

Aisee nasikia wivu sana kwanini kidonge mwenzangu apewe ujiko peke yake? AD ukipata maumivu ya kichwa usinitafute kudadadadadadadeki!

Mi nasubili siku zenu wote, bila kujali ni Babu au Bibi ikitokea EKSITNSHENI KEBO zenu hazifanyi kazi
mtanitafuta tu. Hasa Babu Asprin, TF, Teamo na Mama Mabuti ya Kijeshi AfroDenzi:juggle:
 
Mabibi na ma bwana
Ningependa kuchukua nafasi hii kuwaeleza
Ukweli kuhusu huyu mtu..

Huyu mtu maneno yake na jina lake
Yanaendana kama

Samaki na maji
mizizi na ardhi
Wanyama na oxygen

Huyu mtu kweli ni tiba kama jina lake
kila atakacho andika kina ucheshi ndani yake..
Klorokwin please keep doing what your doing
Coz we need people like you here ...

asante sana kwa kutufanya tuwe tuna tabasamu kwenye
Screen ya computer....

Hivi mama unajua hilo jina halitamkwi bila pamishen ya processor??
 
Asalaamu aleikum....bandugu bapendwa!!

Naona bado tupiga jalamba tu...Bwana harusi kapotelea kwenye nyumba za wageni....Kazi kweli kweli!!

Afadhali mie nimeukana ubabu...sitaki kuwa kuitwa mwanga kama yule wa Loliondo!!

Wewe babu haupo kwenye mwanga, upo kwenye giza nene lililoenea jiji zima aka DC:tongue:
 
Duh KLOROKWIN mna nini na AD minakufahamu kuwa we mchungu sana ila hapa naona mambo yapo opp ha ha ha .I wonder uko wapi mpaka sasa sijakuona mkuu kupokea salaam.:redfaces:big up!!!!!!!!!
 
Mi nasubili siku zenu wote, bila kujali ni Babu au Bibi ikitokea EKSITNSHENI KEBO zenu hazifanyi kazi
mtanitafuta tu. Hasa Babu Asprin, TF, Teamo na Mama Mabuti ya Kijeshi AfroDenzi:juggle:
CPU mimi sina na sitaki siku aisee hapana kabisa klorokwin ndio yuko kwenye siku yake leo na kila tarehe 17 ya kila mwezi
 
Hivi mama unajua hilo jina halitamkwi bila pamishen ya processor??

Hahahahahahahah lol
Niliona process er inachelewa
nikaamua kuilipua lol

Nway sante kwa kupenda poster
me like u to..mmmhhh
 
Back
Top Bottom