kwa upande wangu mimi sina upande wa shiling mana kote kote analingana na hvyo ninashndwa kusema wap ni wap ila ukiangalia kimtazamo asilimia kubwa ya wanawake walio wasom wanachelewa kuolewa kutokana na kuwa na trick tofaut tofaut na hvyo kuwapelekea hayo kuwatokea. Nisingependa kujadili sana hl ngoja niwaachie wengne nitarud bidae
Kilichopo sio trick au plan ila mkuu unajua muda wa kusoma anaotumia mtu. Kama mwanamke ameamua kusoma masters au PHD unajua muda atakaotumia huko na inawezekana muda huo hajaamua kuwa kwenye mahusiano au yuko kwenye mahusiano ila hajapanga kuolewa. So tusiwahukumu na wanapotoka vyuoni wanatumia muda pia kujipanga na kujijenga kimaisha ndo may be afikirie kuolewa. tusiwalaumu sana na wala tusiwaone kuwa wana kiburi ila mtu huwezi tuu kumalisha shule then hapo hapo uingie ndoa
Murefu naamini kuna kitu unacho ambacho unaweza kushare na sisi hapa ila naona bado hujakipanga