Ukweli katika mahusiano

Msaranga

JF-Expert Member
Feb 10, 2009
956
227
Probability ya kuolewa kwa wanawake waliosoma huwa ni ndogo mno.nahisi usomi unaongeza kiburi.kuolewa na kiburi havimeshishani.tuwe macho na tujipange.naomba kuwasilisha
 
Naona umewasilsha with such a finality ambayo hata niseme nini haiwezi penya kwako.... Asante kwa kuwasilisha... keep on keeping on.
 
Ukimwelimisha mwanamke umeelimisha jamii nzima ! Amka ndugu hii ni karne ya wasomi haijalishi ni mwanamke au mwanaume!
 
Asante kwa kulitambua hilo, we nenda kaoe wajinga sisi tuachie wasomi walau tupate maendeleo we uendelee kutumika.
 
Harakaharaka nikushauri faida za mwanamke msomi,

1. Ni msafi

2. Ni mshauri mzuri kwenye maswala ya maendeleo, mjinga atanishauri nini?

3. Ana wivu wa maendeleo na mapenzi pia, mjinga yupo tu tayari kwa lolote,

4. Anakubaliana na mabadiliko. Mfano kama umeishiwa kwa bahati mbaya uwezekano wa kukuvumilia ni mkubwa kuliko kuwa na mjinga ambae ikitokea umefilisika anarubuniwa na wenye nazo kiulaiíííni.

5. Ana mchango mkubwa kwa mumewe, hasa ktk maswala ya kifedha.

6. Huwaza maendeleo zaidi kuliko ngono, mjinga anajua kaolewa kwa ajili ya kuzaa tu.

7. Anajiamini(confidence), so huwezi kumpeleka peleka.

8. Anajua umuhimu wa kuwasomesha watoto. Mjinga atapendelea wanawe wawe na hata kaelimu ya kuwapatia kakipato ka kula. Hana ndoto za mbali.

9. Ana uelewa kuhusu uzazi wa mpango.

10. Ana uwezo wa kutetea jamii na kutoa michango mbalimbali ya mawazo. Mfano waliopo JF, Kama Ashadii, afrodenzi, lizzy, FF, Preta, nk.
 
elimu haimati ktk mahusiano, kutokusomai kwa mwanamke haimanishi ni mjinga anaweza akakushauri sana, hao wliosoma si ndo hao watembea uchiiii?umesahau mke mwema atoka kwa Mungu?, mwanamke aliyesoma (wengi wao) wanataka wawe kichwa cha familia angali Mwanaume ndo kichwa cha family hapo home ni full kugombana
 
Sidhani kama utafiti wako ni sahihi,
Kwa mtazamo wangu, wanawake wasomi sio wajeuri bali hawapendi kupelekwapelekwa kama wanaume wengi wanavyotaka wao yaani wakishasemawamesema hawataki mama atoe mawazo yake
Baadhi ya wanaume wanaogopa kuwatongoza wanawake wasomi kwani wengi utakuta amejiendeleza ana usafiri wake, nyumba yake so wanaume hapo wanaogopa na kusema huyo ameishajijenga nitamuweza mara atakuwa na gharama kubwa mi sitaziweza na huku hajaongea nae but
all in all mwanamke msomi ana faida kubwa sana
 
Kafanye upya utafiti wako mkuu maana unakosa mambo mengi sana ya muhimu. Wengi hata wale ambao wameoa wanawake ambao hawajasoma wanajitahidi sana kuwapeleka shule wake zao ili waendane na ulimwengu tulio nao. Mwanamke yoyote awe amesoma au hajasoma kama ana natura ya kiburi huwezi kuikwepa ipo tuu na wala haijalishi ni usomi au nini.
 
elimu haimati ktk mahusiano, kutokusomai kwa mwanamke haimanishi ni mjinga anaweza akakushauri sana, hao wliosoma si ndo hao watembea uchiiii?umesahau mke mwema atoka kwa Mungu?, mwanamke aliyesoma (wengi wao) wanataka wawe kichwa cha familia angali Mwanaume ndo kichwa cha family hapo home ni full kugombana
upo sahihi 100% mimi nashauri wanawake wasomi waruhusiwe kuoa wanaume kwa sababu walio wengi hutaka kuwa kichwa cha familia yaani juu ya mumewe
 
Kafanye upya utafiti wako mkuu maana unakosa mambo mengi sana ya muhimu. Wengi hata wale ambao wameoa wanawake ambao hawajasoma wanajitahidi sana kuwapeleka shule wake zao ili waendane na ulimwengu tulio nao. Mwanamke yoyote awe amesoma au hajasoma kama ana natura ya kiburi huwezi kuikwepa ipo tuu na wala haijalishi ni usomi au nini.
ndugu yangu katika ndoa nyingi zenye malumbano ni msomi vs msomi
 
Harakaharaka nikushauri faida za mwanamke msomi,

1. Ni msafi

2. Ni mshauri mzuri kwenye maswala ya maendeleo, mjinga atanishauri nini?

3. Ana wivu wa maendeleo na mapenzi pia, mjinga yupo tu tayari kwa lolote,

4. Anakubaliana na mabadiliko. Mfano kama umeishiwa kwa bahati mbaya uwezekano wa kukuvumilia ni mkubwa kuliko kuwa na mjinga ambae ikitokea umefilisika anarubuniwa na wenye nazo kiulaiíííni.

5. Ana mchango mkubwa kwa mumewe, hasa ktk maswala ya kifedha.

6. Huwaza maendeleo zaidi kuliko ngono, mjinga anajua kaolewa kwa ajili ya kuzaa tu.

7. Anajiamini(confidence), so huwezi kumpeleka peleka.

8. Anajua umuhimu wa kuwasomesha watoto. Mjinga atapendelea wanawe wawe na hata kaelimu ya kuwapatia kakipato ka kula. Hana ndoto za mbali.

9. Ana uelewa kuhusu uzazi wa mpango.

10. Ana uwezo wa kutetea jamii na kutoa michango mbalimbali ya mawazo. Mfano waliopo JF, Kama Ashadii, afrodenzi, lizzy, FF, Preta, nk.
hapo bwana mzee wenye sifa hizo ni 20% ya wasomi
 
ndugu yangu katika ndoa nyingi zenye malumbano ni msomi vs msomi

Mkuu sikubalianu na wewe
Si kweli kuwa ndoa zenye malumbano ni msomi vs msomi hata zile za watu ambao hawajaenda shule mume na mke zina malumbano tena ndo hatari hata kuuana kwa mapanga. Usitake kusema wale wanaowakata wake zao na mapanga wote wameenda shule> Mkuu ondoa hiyo kitu kichwani mwako kuwa wasomi wana kiburi na wanajisikia kwa sababu ya usomi wao
 
mh? Kwa upande mmoja upo sawa kwa upande mwngne haupo sawa lakn watafiti wanaendelea na utafiti so sina uhakika
 
Murefu sema ukweli wako na hebu tupe maoni yako yanaegemea upande gani wa shilingi
kwa upande wangu mimi sina upande wa shiling mana kote kote analingana na hvyo ninashndwa kusema wap ni wap ila ukiangalia kimtazamo asilimia kubwa ya wanawake walio wasom wanachelewa kuolewa kutokana na kuwa na trick tofaut tofaut na hvyo kuwapelekea hayo kuwatokea. Nisingependa kujadili sana hl ngoja niwaachie wengne nitarud bidae
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom