Ukweli katika mahusiano

kwa upande wangu mimi sina upande wa shiling mana kote kote analingana na hvyo ninashndwa kusema wap ni wap ila ukiangalia kimtazamo asilimia kubwa ya wanawake walio wasom wanachelewa kuolewa kutokana na kuwa na trick tofaut tofaut na hvyo kuwapelekea hayo kuwatokea. Nisingependa kujadili sana hl ngoja niwaachie wengne nitarud bidae

Kilichopo sio trick au plan ila mkuu unajua muda wa kusoma anaotumia mtu. Kama mwanamke ameamua kusoma masters au PHD unajua muda atakaotumia huko na inawezekana muda huo hajaamua kuwa kwenye mahusiano au yuko kwenye mahusiano ila hajapanga kuolewa. So tusiwahukumu na wanapotoka vyuoni wanatumia muda pia kujipanga na kujijenga kimaisha ndo may be afikirie kuolewa. tusiwalaumu sana na wala tusiwaone kuwa wana kiburi ila mtu huwezi tuu kumalisha shule then hapo hapo uingie ndoa
Murefu naamini kuna kitu unacho ambacho unaweza kushare na sisi hapa ila naona bado hujakipanga
 
Asante kwa kulitambua hilo, we nenda kaoe wajinga sisi tuachie wasomi walau tupate maendeleo we uendelee kutumika.

Si kwamba mtu ambaye hajasoma ni mjinga. Kuna watu wengi wa zamani walofanya mambo mengi ya kitaalam lakini hawakuwa wameenda shule yoyote. Fanyeni utafiti kwanza.
Pili sio kwamba walioko vijijini wote hawajasoma. Kuna wasomi wenye kuipenda nchi yao zaidi ya wao wenyewe wapo vijijini wanachapa kazi za kuisaidia jamii iliyowapeleka shule. Nina mifano hai na ninaamini hata nyie mnaochangia hii mada mnajua.
Wengi wanaoishi mjini ni wajanja tu, usomi wao wa kununua mitihani na kupata documents za kuwaonesha kuwa wamesoma kumbe hawajui kitu.
Labda tuweke viwango, ni level gani ya elimu unaweza kum-refer mtu kuwa amesoma? (achilia mbali walioiba mitihani na mengineyo)
 
We FIRST BORN unaonekana umesoma kama wasomi wanaoongelewa hapa ila hujaelimika kwasababu unaamini mtu ambae hajasoma ni MJINGA.Ukweli ni kwamba wapo wadada na wakaka kibao wameenda shule ila bado ni wajinga...kubobea kwenye elimu ya darasani (mambo ya kukariri) hakumfanyi mtu expert kwenye ELIMU YA MAISHA.

Bibi yangu hakua amesoma na alichokua anajua kuandika ni jina lake tu ila hata iku moja siwezi kufikiri/kudhani alikua mjinga...infact..kwangu mimi ni mmoja kati ya wanawake wajanja na wenye akili nliopata huwafahamu na kuwajua kiundani.

Kwahiyo nyie kama mnakimbilia kuoa vyeti na sio kilichopo kwenye ubongo wa mtu jiandaeni kwa mambo ambayo hamjajiandaa nayo.Ujinga/usomi/ujanja/akili za mtu havipimwi kwa madarasa aliyopitia bali kwa uwezo wake wa kufikiria na kudeal na mambo mbali mbali.
 
Lizzy kula tano
hapo umeongea jambo laa maana sana maana mtoa mada anachozumzia sana ni elimu ya darasani ya kuwa na degree tatu au sijui nne anasahau kuw akuna elimu ya duniani ambayo haihitaji hata darasa.
 
wanaume wamezoea kufanya uonez kwa mama hasa wa nyumbani coz anakua ndo tegemezi.msomi humwonei km mtoto akiumwa mwenyewe anampeleka hosp ukisha ona hayo ndo mnarise oooh kiburi.viburi mnaleta wenyewe so angalia sana hio
 
Probability ya kuolewa kwa wanawake waliosoma huwa ni ndogo mno.nahisi usomi unaongeza kiburi.kuolewa na kiburi havimeshishani.tuwe macho na tujipange.naomba kuwasilisha

research yako naiunga mkono maana hapa kazini wasomi wanaangaika kuolewa, lakini nahisi vilevile wanaume uchwala uwaogopa wadada waliobukua
 
Lizzy kula tano hapo umeongea jambo laa maana sana maana mtoa mada anachozumzia sana ni elimu ya darasani ya kuwa na degree tatu au sijui nne anasahau kuw akuna elimu ya duniani ambayo haihitaji hata darasa.
Acha watu waoe degree...hawajui zinapatikana hata kwa kununua!
 
wanaume wamezoea kufanya uonez kwa mama hasa wa nyumbani coz anakua ndo tegemezi.msomi humwonei km mtoto akiumwa mwenyewe anampeleka hosp ukisha ona hayo ndo mnarise oooh kiburi.viburi mnaleta wenyewe so angalia sana hio
Kwasababu tu mtu hajasoma sio lazima awe mama wa nyumbani/asijishughulishe.Sema tu baadhi wanaona mume akileta mshahara inatosha yeye hana haja ya kuhangaika...kwa wale ambao hawawezi kukaa bila kufanya kazi hata kuanzisha kabustani ka mboga mboga ni kazi na inalipa...vitu vidogo vidogo mama ananunua...ufugaji wa kuku wawe wa nyama au mayai hauhitaji degree wala mamilioni kuuendesha ila sema tu basi wamama wengine wanajibweteshwa.Jaribuni kutofautisha UJINGA/UVIVU/UJANJA na USOMI....kwasababu tu mtu hajasoma haina maana automatically yeye atakua mvivu au msomi atakua anajituma.
 
Acha watu waoe degree...hawajui zinapatikana hata kwa kununua!

Nyingi tuu na ndo hao wanakuja humu wanasema am handsome meenn
Ukiwaleta kwenye maisha ni mbumbumbu wa haja na bado wana ile mentality ya kuishi na wazazi kila kitu wanapata hawajui kuwa maisha ni mapambano ni zaidi ya elimu ya darasani
 
Kwasababu tu mtu hajasoma sio lazima awe mama wa nyumbani/asijishughulishe.Sema tu baadhi wanaona mume akileta mshahara inatosha yeye hana haja ya kuhangaika...kwa wale ambao hawawezi kukaa bila kufanya kazi hata kuanzisha kabustani ka mboga mboga ni kazi na inalipa...vitu vidogo vidogo mama ananunua...ufugaji wa kuku wawe wa nyama au mayai hauhitaji degree wala mamilioni kuuendesha ila sema tu basi wamama wengine wanajibweteshwa.Jaribuni kutofautisha UJINGA/UVIVU/UJANJA na USOMI....kwasababu tu mtu hajasoma haina maana automatically yeye atakua mvivu au msomi atakua anajituma.

Na hiyo ndio imewajaa wengi kuwa kuoa msomi ni lazima atakuwa na kazi nzuri na maisha mazuri kumbe kuna watu ambao hawajaena shule ila ni wajanja wa maisha na wanakushinda wewe na elimu yako ya darasani. Tunarudi pale pale kuwa elimu ya darasani na maisha ni vitu viwili darasani na usitegemee first class ya darasani ni sawa na first class ya maisha uraiani
 
Kweli kabisa...plus ...elimu ya maisha ni muhimu zaidi maana inakuwezesha kuishi hata kama huna ya darasani wakati ya darasani inawasaidia wale wenye zote mbili.Alafu hawa wanaodai kusoma ndio kuelimika sindo hawa hawa wanaolalamika wadada siku hizi hawawezekani (masista du)...kila siku anataka kula out...kupika hajui/hataki...na huko kula nje chips kuku na burger ndio anataka.Sasa kama huu ndo usomi wa kutojua kubalance maisha waoe mpaka wadada waishe....
 
Kwasababu tu mtu hajasoma sio lazima awe mama wa nyumbani/asijishughulishe.Sema tu baadhi wanaona mume akileta mshahara inatosha yeye hana haja ya kuhangaika...kwa wale ambao hawawezi kukaa bila kufanya kazi hata kuanzisha kabustani ka mboga mboga ni kazi na inalipa...vitu vidogo vidogo mama ananunua...ufugaji wa kuku wawe wa nyama au mayai hauhitaji degree wala mamilioni kuuendesha ila sema tu basi wamama wengine wanajibweteshwa.Jaribuni kutofautisha UJINGA/UVIVU/UJANJA na USOMI....kwasababu tu mtu hajasoma haina maana automatically yeye atakua mvivu au msomi atakua anajituma.
Yaweza kuwa conclusion kwa hii discussion. Nimekupata vyema.
 
Acha watu waoe degree...hawajui zinapatikana hata kwa kununua!

wadu ni kwamba ndoa au maisha kwa ujumla hayategemei sana ubobevu wako kwenye vitabu,. ebu angalia ndoa za ma-prof na ma-dr utacheka wanaishia kupata shinikizo la damu na kiarusi huku wakulima kijijini raha mstarehe. Lizzy 2po pamoja
 
Ndo maana nyingi hata kudumu hazidumu...badala mtu kusema nataka mtu mwenye uelewa wa maisha anasema nataka mwenye degree.
 
Kweli kabisa...plus ...elimu ya maisha ni muhimu zaidi maana inakuwezesha kuishi hata kama huna ya darasani wakati ya darasani inawasaidia wale wenye zote mbili.Alafu hawa wanaodai kusoma ndio kuelimika sindo hawa hawa wanaolalamika wadada siku hizi hawawezekani (masista du)...kila siku anataka kula out...kupika hajui/hataki...na huko kula nje chips kuku na burger ndio anataka.Sasa kama huu ndo usomi wa kutojua kubalance maisha waoe mpaka wadada waishe....

Lizzy hili lipo sana yaani maisha ya kuiga au wanaita maisha ya kwenye movies maana haionyeshi uhalisia wa mtu yaani mtu anaishi kwa kuwa anaishi ila hana ujanja wowote na wala hana ile elimu ya maisha ambayo ni ya muhimu sana. Elimu ya darasani ukichanganya na uraiani humu unapata kitu kizuri sana maana unaweza kuishi na mtu yoyote na kuishi popote na katika mazingira yoyote. Ila wale wanaojidai wana elimu ya darasani na kuishi kw akuigiza mambo yao huwa hovyo sana
 
Hahaha...hata kwenye movie hua wanapika bana.Nadhani tuseme ni ULIMBUKENI.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom