Hizi ni faida kuu za kuhonga kwenye mahusiano

Labani og

JF-Expert Member
Sep 15, 2020
15,776
24,211
Kuhonga ni kitendo Cha kuwa mmwagaji wa maokoto ( fedha) Kwa watu ......so kwenye mahusiano ukiwa mhongaji hizi ni faida kubwa utakazopata-:

1. Kustabilize mahusiano, ukiwa mtoaji wa pesa hakuna pisi itafikilia kukuacha. Mfano Mimi Huwa sijawahi kuachwa but Huwa nawapumzisha tu.. lkni kibunda nawatumia so hii inapa confidence Kila nikimuhitaji Simu Moja tu anakuja ....hata kama kaolewa

2. Confidence inaongezeka, the more unavyohonga ...the more confidence inavyokua ....hii Ina maana unaweza mwambie manzi Yako .... Chochote na akatii....lkn vice versa is true

3. Unaongeza baraka, mfano Mimi jinsi ninavyohonga sana dadaz ndivyo wanavyozidi kuniombea niendelee kuwa na pesa that's y pesa siishiwi
So hii mbinu inatakiwa itumike na Kila mwanaume mwaka 2024

NB: Maneno kidogo ......pesa mingi mwanaume hutakiwi kujieleza sana ..
...bali unatakiwa uwe na financial muscles kubwa

Nakala waione
...Wanaume bahili Tanzania

...Vijana wa hovyo wa kataa ndoa
 
Ubarikiwe sana mkuu naona unautendea haki ule mziki wa...

Mimi mwenzenu sijui kutongozaaaa
Wakijipitishaaaaa
Namwaga helaaaaaaa!

Mwaga hela maana hawa wanawake wasumbufu sana usipohonga.
 
Kuhonga ni kitendo Cha kuwa mmwagaji wa maokoto ( fedha) Kwa watu ......so kwenye mahusiano ukiwa mhongaji hizi ni faida kubwa utakazopata-:

1. Kustabilize mahusiano, ukiwa mtoaji wa pesa hakuna pisi itafikilia kukuacha. Mfano Mimi Huwa sijawahi kuachwa but Huwa nawapumzisha tu.. lkni kibunda nawatumia so hii inapa confidence Kila nikimuhitaji Simu Moja tu anakuja ....hata kama kaolewa

2. Confidence inaongezeka, the more unavyohonga ...the more confidence inavyokua ....hii Ina maana unaweza mwambie manzi Yako .... Chochote na akatii....lkn vice versa is true

3. Unaongeza baraka, mfano Mimi jinsi ninavyohonga sana dadaz ndivyo wanavyozidi kuniombea niendelee kuwa na pesa that's y pesa siishiwi
So hii mbinu inatakiwa itumike na Kila mwanaume mwaka 2024

NB: Maneno kidogo ......pesa mingi mwanaume hutakiwi kujieleza sana ..
...bali unatakiwa uwe na financial muscles kubwa

Nakala waione
...Wanaume bahili Tanzania

...Vijana wa hovyo wa kataa ndoa
20231025_133844.jpg

KAMA NAWEKERAAAA SEMENIIIII

KAMA NAWAUDHIIII SEMENIIIII 😁
 
Back
Top Bottom