Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 30,783
- 59,159
Heeey ukitaka kitu inabidi uonyeshe kwamba kweli unakitaka....cant wait!!hahahahah Lizzy na wewe king'ang'anizi kama kupe. Duh nitakupm nikuambie bana
Heeey ukitaka kitu inabidi uonyeshe kwamba kweli unakitaka....cant wait!!hahahahah Lizzy na wewe king'ang'anizi kama kupe. Duh nitakupm nikuambie bana
Atabakia maskini asipokubali mabadiliko.First Born jamaa inaelekea anawachukia wasomi sana na ndo maana ana mtazamo huo
Yatima asante kwa kua na mawazo endelevu....umesema kweli lizzy - watu wanachanganya elimu ya darasani na elimu ya maisha - kama mwanamke ana elimu ya maisha hata kama hana ya darasni - lazima atamwongoza mwanaume mwenye elimu ya darasani ila hana elimu ya maisha kuna tofauti kubwa..........................
Heeey ukitaka kitu inabidi uonyeshe kwamba kweli unakitaka....can‘t wait!!
Yani kila sekunde narefresh.....na wewe karoho kanadunda unasubiri kujua eehhh nakuja sasa hivi huko
una mke msomi wewe au unaandika mambo ya kufikirika tu. Wanawake wengi wasomi ni wasafi kwa nje ila ukifika kwake ni uchfu mtupu ndo maana hawaachi kuajiri mahausi g. Inshort ni kwamba hizi si sifa za mwanamke msomi ni sifa za mwanamke yoyote ni swala la tabia tu. Kwanza mnatakiwa muweke wazi msomi ni mtu yupi halafu ndo muanze kujadili.Harakaharaka nikushauri faida za mwanamke msomi,1. Ni msafi2. Ni mshauri mzuri kwenye maswala ya maendeleo, mjinga atanishauri nini?3. Ana wivu wa maendeleo na mapenzi pia, mjinga yupo tu tayari kwa lolote,4. Anakubaliana na mabadiliko. Mfano kama umeishiwa kwa bahati mbaya uwezekano wa kukuvumilia ni mkubwa kuliko kuwa na mjinga ambae ikitokea umefilisika anarubuniwa na wenye nazo kiulaiíííni.5. Ana mchango mkubwa kwa mumewe, hasa ktk maswala ya kifedha.6. Huwaza maendeleo zaidi kuliko ngono, mjinga anajua kaolewa kwa ajili ya kuzaa tu.7. Anajiamini(confidence), so huwezi kumpeleka peleka.8. Anajua umuhimu wa kuwasomesha watoto. Mjinga atapendelea wanawe wawe na hata kaelimu ya kuwapatia kakipato ka kula. Hana ndoto za mbali.9. Ana uelewa kuhusu uzazi wa mpango.10. Ana uwezo wa kutetea jamii na kutoa michango mbalimbali ya mawazo. Mfano waliopo JF, Kama Ashadii, afrodenzi, lizzy, FF, Preta, nk.