Ukristo Marekani umekosa Mwelekeo

Ingawa wakristu wanajieneza kwa kupinga sana uislamu, ni wazi kwa nini uislamu umekuwa unasambaa sana Marekani siku za hivi karibuni huku ukiristo ukisinyaa.

Mim ni nilikuwa nasali kanisa la kikatoliki kwa muda mrefu sana kwani ndilo nililoona lilikuwa karibu na nyumbani kwani na ibada zake zianendeshwa kama zile za Kiluteri nilikotokea. Isipokuwa niliacha tena kwenda kanisani kwani kila mara sehemu kubwa ya mahubiri yao ni kuhimiza watu kuchagua republican tu.

Baada ya kuhudhuria kwa muda mrefu kanisa hilo, niliggundua kuwa hata mapadri walikuwa na ubaguzi fulani dhidi ya watu weusi. Sasa ukienda kwenye hao Evangelicals, ndiko utakuta wanalofahamu ni kuwa Marekani ni nchi ya weupe tu, wengine wote ni haramu.

Jana nimekutana na website hii ndipo nikagundua kweli imani yangu kuhusu ukristo kukosa mweleko ni ya kweli kabisa.

Ukristo wa huko Marekani umechukua mkondo wa siasa za Kiliberali.

Haishangazi hata kuona namna hao Engavelicals wanavyosapoti Vita vya Israel huko Gaza kwa kisingizio cha kiimani bila kutambua hata Wapalestina Wakristo wanateseka sana na hiyo Vita.

Hayo ni matokeo ya mapokeo ya kidini ya kibinadamu , ila ' Ukristo ' kwa mujibu wa Biblia haupo hivyo.

zitto junior Mathanzua
DR Mambo Jambo
 
Kwa USA na Ulaya ni kweli kabisa, nchi kama za Netherland, Denmark, Sweeden, Norway ndo zimeshtuka kubwa baada ya miaka 50 huko Ulaya Uislamu utakuwa na nguvu kubwa sana, kwa sababu nchi hizo ni free kupractize dini yoyote lakini nchi za kiarabu ni marufuku kupractize dini ya ukristo kwa uhuru 100% , baadhi ya nchi ukiwa mkristo unafunguliwa mashitaka na kutupwa jela.
 
KANISA ni mtu.

HEKALU ni mwili wako.

MADHABAHU ni moyo wako na utayari wako kumwabudu Mungu.

Kwa tafsiri hiyo, sahau kuhusu kufutika Kwa Imani katika kristo Yesu.

Amen
Hao watu wasipoenda kanisani na wasipokuwa tayari kumwabudu Mungu kuna kanisa hapo?
 
Ukristo wa huko Marekani umechukua mkondo wa siasa za Kiliberali.

Haishangazi hata kuona namna hao Engavelicals wanavyosapoti Vita vya Israel huko Gaza kwa kisingizio cha kiimani bila kutambua hata Wapalestina Wakristo wanateseka sana na hiyo Vita.

Hayo ni matokeo ya mapokeo ya kidini ya kibinadamu , ila ' Ukristo ' kwa mujibu wa Biblia haupo hivyo.

zitto junior Mathanzua
DR Mambo Jambo
Ukristo Marekani haujawahi kuwa na mwelekeo mkuu,kwa kuwa uanzishwaji wa kinachoitwa Marekani wenyewe ulikuwa na malengo ya kishetani.Mwenye akili anaona wazi how evil American institutions are,Hollywood being at the helm!

Ni kwamba Marekani ilianzishwa ili iwe kitovu cha kumgeuza mwanadamu ambaye aliumbwa kwa Mfano wa Mungu amuabudu Shetani.Sasa ni wazi mwanadamu anamwabudu Shetani au kwa kujua au kutojua. Kwa maana nyingine Marekani ni agent wa Shetani na imekuwa kifaa muhimu cha kumtenganisha mwanadamu na Mungu.So hao wanaojiita Evangelicals in the US are nothing,but Wolves in sheep skin building the Kingdom of Satan on Earth,wittingly or unwittingly.The bitter truth is that they are agents of Satan and are doing Satan's dirty job.
 
Sasa kama ndo hivyo mbona waarabu wa Maka walikuwa wakimpinga mtume Muhammad kuueneza huo uislam ndani ya jamii ya waarabu kwa hoja ya kuwa unapingana na mila na mungu wao walio kuwa wanamuabudu kipindi hicho?

Nimekuambia kuwa kabla ya uislam na Ukrisito kuja jamii za wazungu na waarabu zilikuwepo kwa zaidi ya mamilioni ya miaka zikiwa na tamaduni zao hivyo sio sahihi kusema eti hizo dini eti hizo dini ni tamaduni za jamii fulani,kwa sababu hizo dini zimekuja na kuwakuta kama sisi ambavyo dini zili tukuta.

Na mpaka hizo jamii zinakuja kupokea dini hizi kumetumika gharama kubwa sana ya damu za watu na muda mwingi sana ,sasa kama hizi dini zilikuwa zinaendana na tamaduni zao kwann watu walikuwa wanakataa hizo dini mkapa ikarazimika kutumika ncha ya upanga ili wazi kubali?

Hata waarabu wa Africa kaskazini uislam wamekuja kuujua baada ya wao kutawaliwa na Ottoman walikuwa hawaujui.
Umemjibu vyema sana te ya tu madhubuti.
 
Dini ni ishu ya utamaduni.
Ukristo na waafrika wapi na wapi?
Uislamu na uafrika wapi na wapi?

Ninyi waafrika ndio mnajua sana kujipendekeza kwenye mambo yasiyowahusu.

Ukristo ni Uzungu
Uyahudi ni kwa waisraeli
Uislamu ni kwaarabu
Uhindu ni kwa Wahindi
Ubudha ni kwa wachina.

Ninyi mnakiheris

Ninyi mnakiherehere
Historian inaeleza kua Dini ya waisraeli ambayo kwayo ukawepo ukristo na uislamu uliasisiwa Africa Egypt Ibada zao na kutambikia kwao ni utamaduni wa muafrika Ibada ya hekalu la waisraeli walitambikia ng'ombe mbuzi na kondoo njiwa na pombe
jaribu kuwauliza wazee wa kabila lenu kama hakuna mfanano na Ibada ya waisraeli
Sheria zao si ngeni Kwa wa afrika usiue usizini usiibe usiseme uongo usitamani vya mwenzako Mali yake na mke wake
Kuwaheshimu wazazi na kuwatunza kunaleta baraka hayo yalikuepo tangu kale kabla ya wamisionali
Wanawaisrael hayo walifundishwa misri ya kale kwao ikawa Sheria
Ukristo ni uafrika Kwa kila Hali unaendana na utamaduni wetu
 
Katika zile amri 10 za Mungu, moja inasema usizini. Na ni dhambi kuzini. Unazungumziaje hilo

Nasema hivi. Huyo Mungu hayupo.

Kama kuzini ni dhambi, si dhambi, dhambi yenyewe ni nini, hayo yote si mambo yaliyowekwa na Mungu.

Kwa sababu Mungu hayupo.

Kama unabisha, thibitisha Mungu yupo.
 
Uzuri wa marekani nyie waislamu ongezekeni tu ila mkijaribu ugaidi mtakula vyuma za kichwa ile mbaya..police wa USA wanamsemo wao wa "do not reach for anything show me your hand"ukiambiwa hivi halafu jifanye kama unajikuna utasikia police kwenye macrophone anakwambia "shot fired suspect is down"

Baada ya hapo wewe sheikh ni kwenda kula zako bikira 70 Kwa Allah.
 
Ingawa wakristu wanajieneza kwa kupinga sana uislamu, ni wazi kwa nini uislamu umekuwa unasambaa sana Marekani siku za hivi karibuni huku ukiristo ukisinyaa.

Mim ni nilikuwa nasali kanisa la kikatoliki kwa muda mrefu sana kwani ndilo nililoona lilikuwa karibu na nyumbani kwani na ibada zake zianendeshwa kama zile za Kiluteri nilikotokea. Isipokuwa niliacha tena kwenda kanisani kwani kila mara sehemu kubwa ya mahubiri yao ni kuhimiza watu kuchagua republican tu.

Baada ya kuhudhuria kwa muda mrefu kanisa hilo, niliggundua kuwa hata mapadri walikuwa na ubaguzi fulani dhidi ya watu weusi. Sasa ukienda kwenye hao Evangelicals, ndiko utakuta wanalofahamu ni kuwa Marekani ni nchi ya weupe tu, wengine wote ni haramu.

Jana nimekutana na website hii ndipo nikagundua kweli imani yangu kuhusu ukristo kukosa mweleko ni ya kweli kabisa.

kuna uamsho mkubwa sana utakuja dunia nzima kuhusu watu kumwamini Yesu Kristo . stay tunned hivyo ukristo utakuja kuwa na nguvu tena kubwa ila ni kwa muda
 
Ingawa wakristu wanajieneza kwa kupinga sana uislamu, ni wazi kwa nini uislamu umekuwa unasambaa sana Marekani siku za hivi karibuni huku ukiristo ukisinyaa.

Mim ni nilikuwa nasali kanisa la kikatoliki kwa muda mrefu sana kwani ndilo nililoona lilikuwa karibu na nyumbani kwani na ibada zake zianendeshwa kama zile za Kiluteri nilikotokea. Isipokuwa niliacha tena kwenda kanisani kwani kila mara sehemu kubwa ya mahubiri yao ni kuhimiza watu kuchagua republican tu.

Baada ya kuhudhuria kwa muda mrefu kanisa hilo, niliggundua kuwa hata mapadri walikuwa na ubaguzi fulani dhidi ya watu weusi. Sasa ukienda kwenye hao Evangelicals, ndiko utakuta wanalofahamu ni kuwa Marekani ni nchi ya weupe tu, wengine wote ni haramu.

Jana nimekutana na website hii ndipo nikagundua kweli imani yangu kuhusu ukristo kukosa mweleko ni ya kweli kabisa.

Uislam Marekani unasambaa kwa kutokana na wakimbizi wa Kiislam wengi kwenda Marekani kuomba asylum, wale wamarekani wanaojiunga na Uislam wengi wao ni Wamarekani ma alosto, yaani wale wa ghetto wasiojuwa lolote kuhusu Uislam. Wao wanafikiri Uislam ni dini ya mtu mweusi na Ukristu ni dini ya mzungu, so wanajitoa kwenye Ukristu na kuwa Waislam wakifikiri wanafuata watu weusi wenzao kumbe sivyo, hawajuwi ukweli tu. Hakuna dini ya kibaguzi kama Uislam hasa huko nchi za ghuba.
 
Mkuu waarabu uislam umewafikia miaka 1600 iliyo pita hali ya kuwa jamii ipo duniani kwa mamilioni ya miaka kwa hiyo walikuwa wanaishi bila tamaduni?
Wazungu wamepelekewa ukrisito na Paulo miaka 1800 iliyo pita hali ya kuwa jamii ya wazungu ili kuwepo tangu kuumbwa kwa dunia hii.

Dini zili kuja zikakuta waarabu na wazungu tiyari wana tamaduni zao hivyo wakalazimika kuacha baadhi ya tamaduni zao ili waweze kuzifuata hizo dini kama sisi tulivyo razimika kuziacha tamaduni zetu kwa ajili ya dini.
Kiufupi na wao waliletewa tu kama sisi,tofauti ni kila jamii imeletewa kwa muda tofauti.

Mkuu kusema eti uislam ni utamaduni wa waarabu sio kweli kwa sababu waarabu ni sehemu ndogo sana ya waisilamu waliopo hapa duniani.
Waarabu ni 20% tu ya waisilamu hapa duniani , waisilam walioko Indonesia na India tu ni wengi kuzidi waarabu wote.
Alafu kingine pamoja na kuwa waarabu ndo waliwahi kuipokea dini ya kiislam lakini hawana mchango mkubwa sana katika kuenea kwa huo uislam ,mwenye mchango mkubwa katika kuenea kwa Uislam ni jamii ya waturuki kupitia dora ya Ottoman.

Kiufupi ni kuwa Ukrisito na uislam sio dini ya jamii fulani bali ni kwa jamii zote na ndio maana zimetapakaa katika kila jamii na kila taifa.
Na Waturuki walikuwa washenzi mno, walifanya mauaji kama aliyokuwa anafanya Muddy, waliua sana watu duniani kutaka kueneza Uislam kwa mapanga na masime, sasa dini gani hiyo inayolazimisha watu?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom