KERO Ukosefu wa maji mtaa wa Luguruni (Jino kwa Jino)

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Wakazi wa mtaa wa Luguruni (Jino kwa Jino) tumekosa maji toka July 2023, DAWASA hawatoi majibu ya kuridhisha.

Na si mbali na ofisi za Mkuu wa wilaya ya Ubungo lakini hakuna utatuzi wowote wala jitihada za kuleta maji.
 
Poleni sana kwakweli huduma ya maji ni muhimu sana kwa kila uchao, mngejaribu kuwafawatilia hao jamaa ofisini kwao wawasaidie maana hilo ni janga kubwa.
 
Mkuu waleteni ITV saiti walilipoti hilo jambo la kukosa Maji Kwa muda mrefu. Wiki haitaisha, mtaletewa maji mengi hadi myakimbie wenyewe.
 
Poleni sana kwakweli huduma ya maji ni muhimu sana kwa kila uchao, mngejaribu kuwafawatilia hao jamaa ofisini kwao wawasaidie maana hilo ni janga kubwa.
DAWASA hawatoi majibu ya kuridhisha, na nasikia wapo kabisa mtaani kwao
 
Back
Top Bottom