Muulize GENTAMYCINE maana nae nahisi yupo Kenya. Halafu mkumbushe kuwa Shomari Kapombe aliongea kwenye Press hiyo janaNipo Mji wa Eldoret Kenya, nawezaje kuangalia live mechi ya Derby wakuu.
Nimeenda Bar ni.eulizia kama wataonesha wanajibu hawana uhakika.
NI channel gan zinaoneshaga huu mpira wa bongo huku Kenya.
Nawasilisha
Uzi ufungwe.Download azam max app
Nipo Kampala nchini Uganda na siyo huko Kenya Kwako tafadhali.Muulize GENTAMYCINE maana nae nahisi yupo Kenya. Halafu mkumbushe kuwa Shomari Kapombe aliongea kwenye Press hiyo jana
Usijali Mkuu niamini tunashinda 1 kwa 0 au 2 kwa 1. Leo Miquissone na Onana mtawataka Wenyewe. Kazi imeshamalizika.Nipo Taifa VIP A na jezi yangu ya Simba nasubiri kuangalia live hii mechi. Wewe huko Kenya Azam TV ipo.
Mura GENTAMYCINE Mwanasimba mwenzangu amekimbilia Uganda 😀😀 sisi wenye roho za paka tunaomba Mungu
Nipo Mura namuangalia Mzee Dalali hapa. Hawa miamba Enzo zao waliokuwa wanamaliza mechi nje ya uwanjaUsijali Mkuu niamini tunashinda 1 kwa 0 au 2 kwa 1. Leo Miquissone na Onana mtawataka Wenyewe. Kazi imeshamalizika.
Unamuona hapo Rafiki yangu wa Kihaya Idi Kajuna ( Soni nikimaanisha ana Mguu mmoja mfupi na ana Simu nyingi Mkononi ) Mzee wa Fitna na Mtoto wa Mjini? Huyo ni Mafia kama Hanspoppe, Kassim Dewji na Poti wangu Magori.Nipo Mura namuangalia Mzee Dalali hapa. Hawa miamba Enzo zao waliokuwa wanamaliza mechi nje ya uwanja
Hii list Simba haitapata kutokea. Sasha hivi tuna wababaishaji tunasumbuliwa mpaka na IhefuUnamuona hapo Rafiki yangu wa Kihaya Idi Kajuna ( Soni nikimaanisha ana Mguu mmoja mfupi na ana Simu nyingi Mkononi ) Mzee wa Fitna na Mtoto wa Mjini? Huyo ni Mafia kama Hanspoppe, Kassim Dewji na Poti wangu Magori.
Yupo au?Hii list Simba haitapata kutokea. Sasha hivi tuna wababaishaji tunasumbuliwa mpaka na Ihefu
Sikumuona MuraYupo au?
Ndiyo maana tumefungwa.Sikumuona Mura