Ukiwa Kenya unaangalia vipi Derby ya SIMBA na YANGA

MoroGent

Member
Jan 10, 2018
79
312
Nipo Mji wa Eldoret Kenya, nawezaje kuangalia live mechi ya Derby wakuu.
Nimeenda Bar ni.eulizia kama wataonesha wanajibu hawana uhakika.
NI channel gan zinaoneshaga huu mpira wa bongo huku Kenya.
Nawasilisha
 
Nipo Mura namuangalia Mzee Dalali hapa. Hawa miamba Enzo zao waliokuwa wanamaliza mechi nje ya uwanja
Unamuona hapo Rafiki yangu wa Kihaya Idi Kajuna ( Soni nikimaanisha ana Mguu mmoja mfupi na ana Simu nyingi Mkononi ) Mzee wa Fitna na Mtoto wa Mjini? Huyo ni Mafia kama Hanspoppe, Kassim Dewji na Poti wangu Magori.
 
Hii list Simba haitapata kutokea. Sasha hivi tuna wababaishaji tunasumbuliwa mpaka na Ihefu
 
Back
Top Bottom