Ukiudharau moshi unaofuka, basi jiandae kuzima moto

I do too have someone I love so much. And not afraid to tell anyone who will want me.... For someone else to go PM or my PM it doesn't mean that he / she will get what he / she has been looking for ( especially on kummtaka MTU )... There are so many reasons make other people want to go PM .. It could be something else ambacho you can't talk with that person in public... I do go PM and talk to some people sometimes and not because I want them to be my partner no.. Its because other things ... Thanks..
Thank you my dear, that is why i always love you!
 
Jf baanaaa.
Ni stress free zone always. Humu utakutana na kila aina ya watu. Asante keyboard kuficha uhalisia wetu na kutusaidia kufake maisha yetu. Lakini pia desperate situations zinapata suluhu humu ndani.
Ukitulia utajua tu who is faking kwakweli.
Mleta mada umenena jambo zuri kila mwenye macho na atizame na mwenye akili ajitafakari njia zake.
Shika ulichonacho usihangaike na usichokijua utajuta baadae sana
 
I do too have someone whom I love so much. And not afraid to tell anyone who will want me.... For someone else to go PM or my PM it doesn't mean that he / she will get what he / she has been looking for ( especially on kummtaka MTU )... There are so many reasons make other people want to go PM .. It could be something else ambacho you can't talk with that person in public... I do go PM and talk to some people sometimes and not because I want them to be my partner no.. Its because other things ... Thanks..
ahsante kwa maelezo yako matamu.. Unasalimiwa na wanangu Yaseer na Christina
 
ukweli ndio huo tusidharau au kupenda vijiugomvi vidogo vidogo. Lazima tutambue kuwa vile vitu tunavyoona ni vidogo vinakuwa na maana kubwa katika mahusiano yetu... Ni lazima tuonyeshana kuwa kila mmoja anayothamani sawa..
 
Back
Top Bottom