Ukiudharau moshi unaofuka, basi jiandae kuzima moto

Habari za jioni wakuu,

Jaribu kumtazama mwanamke ama mwanamume uliyenae kwa umakini. Mtizame anavyohangaika sababu ya mapenzi mazito aliyonayo juu yako.

Muangalie anapoamka asubuhi akikiacha kitanda tena akiwa bado na usingizi mzito. Lakini kwa kuitambua thamani yako na mahitaji muhimu katika maisha anasahau hilo la usingozi na kuliacha shuka tayari kwa mapambano yakuingiza chochote kitu.

Anatoka na kukuacha ukiwa kitandani ukivuta shuka.Anaingia mihangaikoni. Huko anakutana na maneno ya masimango kutoka kwa bosi na wafanyakazi wenzie.

Wakati mwingine anakumbana na udhalilishaji wa kijinsia hata kutakiwa na mabosi wake,lakini kwa kutambua thamani yako anasimamia maamuzi yake na kukataa kutii kile alichoombwa.

Sio kwamba alifanya hivyo kwa kuwa hana shida la hasha aliitambua thamani yako na kuliweka penzi lako mbele kulikokazi yake.

Baada ya kupambana na hayo yote mwanaume/mwanamke anaporudi nyumbani huhitaji faraja.Faraja kutoka kwa familia yake hasa mpenzi/mume/mke. Hahitaji kukasirishwa na kufokewa.

Unapotengeneza mipasuko katika mahusiano yako, tambua unauandaa moshi ambao siku moto ukiwaka utashindwa kuuzima na kwa kutambua hilo utakuwa umepoteza kila kilichounguzwa na moto Huo.Ni wajibu wetu sote kuishi kwa kupendana, kulindana nakuheshimiana.

Kila mwenye kuishi na mwenzake amuonyeshe ukweli kutoka moyoni kuwa anampenda na kamwe hatoweza kumuacha.Faraja pekee yenye thamani ni ile unayopewa na mtu anayekupenda na umpendae.

TUACHE KUUDHARAU MOSHI UNAOFUKA KWA KUWA UKIWAKA UTAUNGUZA KILA KITU TULICHONACHO

NA HATA MTAKAPOHITAJI KUJENGA TENA HAUTOKUWA IMARA TENA KAMA MWANZO.

ZINGATIA HILO

Well said and very true... Good point.. ... Take care and love what we have .. Once its gone its impossible to bring it back the same way it was ..... Love is sweet , let's us not trying to make it bitter.. Thanks..
 
Dear nawe umo ,hahaaa.. Ila hauvumi .. Haaaahaa..... Still love yah, anyway... . Thanks..
Looooh!!!.... Hata Ibra87 amenishambulia but am here for humbling, joking and hence enjoying myself and making my people funny!!..... Halafu kwa mara ya kwanza umetoa comment inayonukia male!!(Am smarter behaviourist to understand sex and gender basing in peoples' behaviour).... Are you male acting as a female at JF????
 
Well said and very true... Good point.. ... Take care and love what we have .. Once its gone its impossible to bring it back the same way it was ..... Love is sweet , let's us not trying to make it bitter.. Thanks..
ahsante shemeji
 
Looooh!!!.... Hata Ibra87 amenishambulia but am here for humbling, joking and hence enjoying myself and making my people funny!!..... Halafu kwa mara ya kwanza umetoa comment inayonukia male!!(Am smarter behaviourist to understand sex and gender basing in
peoples' behaviour).... Are you male acting as a female????

Dear common now.. Hahhaaa...nitake radhi bhana... Okay how about this , dear.. I still love you anyway... Thanks....
 
Looooh!!!.... Hata Ibra87 amenishambulia but am here for humbling, joking and hence enjoying myself and making my people funny!!..... Halafu kwa mara ya kwanza umetoa comment inayonukia male!!(Am smarter behaviourist to understand sex and gender basing in peoples' behaviour).... Are you male acting as a female at JF????
huyo ni binti mrembo kuliko wote humu Jf.. Kidogo Valentina ndio anamkaribia
 
huyo ni binti mrembo kuliko wote humu Jf.. Kidogo Valentina ndio anamkaribia
Ha!haaa!!haaaaaaa!!!..... Kuna jamaa alikuwa ana-act kama mdada humu JF kwa kipindi cha zaidi ya mwaka mmoja na jana amesema ana mpango wa kutoa screenshot zote za akina fulani ambao walikuwa wanamuimbisha kule PM!!
 
mimi sihusiki huko pm nina mashaka na wewe
 
Ha!haaa!!haaaaaaa!!!..... Kuna jamaa alikuwa ana-act kama mdada humu JF kwa kipindi cha zaidi ya mwaka mmoja na jana amesema ana mpango wa kutoa screenshot zote za akina fulani ambao walikuwa wanamuimbisha kule PM!!

Aahaa.. Honestly , He didn't have something to do.. Hivi kweli he did that ? Then what did he get from it .... Haki this is abnormal thing to do.. Thanks..
 
Back
Top Bottom