Janga la Moto Marekani: Unaweza Kudhani Vita Vimetokea Katika Eneo Hili

Sam Gidori

Senior Member
Sep 7, 2020
165
414
Ashley, mtoto mwenye umri wa miaka mitatu akiitazama baiskeli yake iliyoteketea kwa moto katika eneo la Bear Creek, Phoenix, Oregon, Septemba 10, 2020. Picha: REUTERS/Carlos Barria

Asubuhi ya Septemba 11 ingekuwa asubuhi tulivu kama ilivyo asubuhi ya siku nyingine yoyote katika mji wa Phoenix, Oregon, Magharibi mwa Marekani, lakini haikuwa hivyo!

Matt Manson anasimama kuangalia masalia ya gari lake lililoteketea kwa moto akiwa haamini anachokiona - magofu ya nyumba yake na barabara ambayo si rahisi kutambua kama kuliwahi kuwa nyumba katika eneo hilo.
Manson, kama walivyo wakazi wengine wa mji wa Phoenix, aliamka akiwa amepigwa na butwaa baada ya moto mkubwa kuteketeza nyumba yake na kuyaharibu maisha yake.

"Moto umeyeyusha injini ya gari langu - umeteketeza kabisa barabara," anasema Manson, injinia mwenye umri wa miaka 43.
"Nimepoteza kila kitu, nimepoteza vifaa vyangu vyote, gari langu, siwezi kufanya kazi. Nimepoteza magitaa yenye thamani ya dola 30,000 (milioni 69.5). Vyote vimepotea."

Manson sasa anamiliki begi moja tu la nguo lenye nguo kadhaa za kubadilisha. Anajikuta katika wakati mgumu kuelezea hasara aliyoipata kutokana na moto ulioteketeza nyumba yake. Miti iliyokuwa pembezoni mwa barabara inayoelekea nyumbani kwake sasa ni kama mafuvu meusi yaliyosimama.

"Unaweza kudhani vita vimetokea katika eneo hili," anasema Manson.
"Unaweza kudhani vita vimetokea katika eneo hili"
- Matt Manson

Mtoto mwenye umri wa miaka 12 alikutwa akiwa amefariki ndani ya gari lililoteketea moto, akiwa amemkumbatia mbwa wake. Bibi yake naye anaaminika kupoteza maisha ndani ya nyumba yake katika mji mdogo takriban kilometa 80 kusini mwa mji wa Portland.
Katika Jimbo la Washington, mtoto wa mwaka mmoja amefariki dunia huku wazazi wake wakiwa mahututi baada ya wazazi wake kushindwa kumuokoa kutokana na moto mkubwa kwahi kutokea katika historia ya jimbo hilo kuteketeza mji wao katika Kaunti ya Kaskazini ya Okanogan.

Zaidi ya watu nusu milioni kutoka jimbo la Oregon walilazimishwa kuondoka kutoka majumbani mwao kufuatia moto ulioteketeza maeneo makubwa ya jimbo hilo mapema wiki hii, huku moshi mkubwa ukisababisha kiza cha mchana. Takriban watu 24 wamepoteza maisha tangu kuanza kwa visa vya moto mwezi mmoja uliopita, huku mamlaka zikitahadharisha kukuta miili zaidi watakapotembelea maeneo yaliyoungua moto. Tazama ramani ya maeneo yaliyoteketea moto hapa.

Ni zaidi ya wiki tatu sasa tangu moto huo kuanza katika majimbo ya California, Oregon na Washington Kaskazini Magharibi mwa taifa hilo, huku kusambaa kwa kasi kwa moto huo kukichangiwa na upepo mkali na joto kali la msimu wa kiangazi.

Moto huo umeteketeza eneo lenye ukubwa wa zaidi ya eka milioni nne na nusu, sawa na eneo linalokaribia ukubwa wa mkoa wa Mara, ndani ya muda wa wiki tatu tu, kwa mujibu wa Shirika la Kupambana na Majanga ya Moto nchini Marekani, NIFC.

Picha ya infraredi ikionesha eneo la mji wa Phoenix, Oregon, lililoungua moto. Rangi nyekundu ni uoto wa asili uliosalia katika eneo hilo

Gavana wa Jimbo la California amesema huu si muda wa Marekani kuanza kujadili kuhusu mabadiliko ya tabia ya nchi.
"Mjadala kuhusu mabadiliko ya tabia ya nchi umekwisha," Gavana Gavin Newsom aliwaambia waandishi wa habari baada ya kukagua hasara iliyotokana na moto katika eneo la Kaskazini mwa jimbo lake.
"Hili ni janga la kimazingira. Ni kweli na inatokea," alisema Newsom.

Newsom amekiri kuwepo kwa usimamizi mbaya wa misitu katika eneo hilo lakini amesema kuwa hilo ni jambo moja tu, na si jambo kubwa.

Rais Donald Trump, ambaye amekuwa mpinzani namba moja wa mabadiliko ya tabia ya nchi ameelekeza lawama zake kwa usimamizi mbovu wa rasilimali za misitu kuwa chanzo pekee cha majanga ya moto katika maeneo hayo na uzembe wa wafanyakazi wa kuzima moto kuwa sababu ya hasara iliyotokana na moto huo.

"Mnatakiwa kusafisha misitu yenu - kuna majani ya muda mrefu sana na miti iliyovunjika, ambayo yanashika moto haraka sana," Trump alisema katika moja ya kampeni zake mwezi uliopita.

Jimbo la California pekee limeshuhudia vifo vya watu 20 waliofariki kutokana na moto huo kuanzia Agosti 15, huku maelfu wengine wakilazimishwa kuondoka wakati zaidi ya wafanyakazi 14,800 wakipambana kuzima zaidi ya mioto mikubwa 28 katika jimbo hilo.
 
View attachment 1567869

View attachment 1567871

Marekani imekuwa mpinzani namba moja kuhusu kulinda mazingira duniani....

Mungu awarehemu
 
Jamani hiyo mioto huko inawaka mpaka kwenye ardhi!!?mbona Sisi huku inaishia porini tuu, au ndiyo Moto wa umeme?!
 
mioto ya marekani iko very smart kama covid yao!...... huu moto unawaka kufuata highway, na umeogopa kuvuka kuingia Canada!......

moto gani unachagua namna ya kuunguza?.......

muda sio mrefu utasikia tatizo ni Trump, hajali maswala ya climate change!...... yaleyale ya Covid!
 
Back
Top Bottom