Songambele
JF-Expert Member
- Nov 20, 2007
- 4,695
- 2,553
wabunge nao wamesign na wapinzani wamo pia
Alikataa kwa sababu ilikuwa ndogo nape mwanzake angonga mpaka m10 M20 M30 halafu yeye laki 280 hata mimi ningekataa, Mtoto wa mkulima yeye kanyagwa twenda hat buku kumi kama polisi wetu yeye mkulima bwana
Katika taarifa iliyochapishwa kwenye gazeti la raia mwema la novemba 23 yenye kichwa cha habari "Pinda, Makinda, wavuta za Jairo" imechapishwa fomu ya malipo ya jumla ya sh 1,120,000/= kwa viongozi wanne huku jina la Mwenyekiti wa kamati ya nishati na madini January Makamba likiwa limekatwa. Kwa mujibu wa jedwali January alipaswa kupokea 280,000/= lakini hakuzipokea. Mimi naanza kuamini kwamba kauli za January ni kielelezo halisi juu ya imani na msimamo wake kwenye maswala yenye maslahi kwa taifa na je tuna vijana wangapi ndani ya CCM wanaoweza kufanya anayoyafanya January?
GZ
Mkuu siamini kama mtu anakataa pesa kwa sababu ya kiwango, kwani posho za bunge za kawaida huwa hapokei?je kiwango cha posho za kila siku zinalingana na kiasi hiki?na je unataka kuniambia kwamba January anapata fedha nyingi kuliko boss wake spika kiasi cha kuona laki mbili kamahela za madafu?siyo kweli. Mnyonge myongeni lakini haki yake mpeni, mimi naona hapo January kawazidi wote uzalendo hata mtoto wa mkulima kaniabisha kusaini posho za Jairo wakati watanzania tulikuwa gizani. Utakumbuka katika suala la kutatua tatizo la umeme wapinzani hasa cdm waliishauri serikali kupunguza matumizi hasa posho ili tuwezi kuagiza mitambo namafuta tuzalishe umeme. Kitendo cha kupokea posho wakati Tanzania ikiwa gizani haikuwa sahihi kabisa, big up January umetufundisha kitu vijanaAlikataa kwa sababu ilikuwa ndogo nape mwanzake angonga mpaka m10 M20 M30 halafu yeye laki 280 hata mimi ningekataa, Mtoto wa mkulima yeye kanyagwa twenda hat buku kumi kama polisi wetu yeye mkulima bwana
Hii ndio point ya muhimu kuliko zote. Hamna sehemu ambayo CCM walishawahi kupinga posho. but viherere wapinzni wakiongozwa na CDM walijidai kuwalaghai wananchi kuwa hawapokei posho but in real ni Zitto na J. Makamba tu ndio huwa hawachukui posho.wabunge nao wamesign na wapinzani wamo pia
Hee Bwn Johnsecond ukisikia baraa hilo ni baraa, sasa huyu Mhs Pinda mtoto wa mkulima kwa nini yeye kama waziri mkuu asiulize hizi fedha tunazosaini na kupewa ni za nini?????????? Ni sawa kabisa na waziri Ngeleja pamoja na Malima walio saini 4 million bila kuuliza fedha hizi ni za nini, kweli tuna serikali ua usanii tuu!!!!!!!!!!!Nimesoma mwanahalisi la leo kumbe Pinda na Makinda nao walisaini pesa za jairo ili hali wenyewe serikali inawalipia kila kitu. Hao wawili walisaini kila mmoja 280,000 kwa kikao kisichozidi dakika 40. Sasa huyu ndo yule aliyekataa shangingi??? na ndio maana alikuwa mstari wa mbele sana kutetea bajeti huu ni uhuni sana, makinda simlaumu sana yeye uwezo wake wa kufikiri uko chini sana people might not notice the difference if you urge with a .......
Hii ndio point ya muhimu kuliko zote. Hamna sehemu ambayo CCM walishawahi kupinga posho. but viherere wapinzni wakiongozwa na CDM walijidai kuwalaghai wananchi kuwa hawapokei posho but in real ni Zitto na J. Makamba tu ndio huwa hawachukui posho.
Alikataa kwa sababu ilikuwa ndogo nape mwanzake angonga mpaka m10 M20 M30 halafu yeye laki 280 hata mimi ningekataa, Mtoto wa mkulima yeye kanyagwa twenda hat buku kumi kama polisi wetu yeye mkulima bwana