Ukisikia Pinda ni mnafiki ona sasa haya

PINDA ni KIMEO kuliko JK
we mdada! Taratibu, cna hakika km kimeo unakifahamu vzr, haya huyo mz umsukumiae madongo ana kimeo ki1! Ww unamiliki vimeo vngp? Usianzishe STONEWAR wkt unakaa kwny nyumba ya vioo! Huyo mzee wengine sie mkwe we2 "Baba mzaa utamu/ucngizi wng" fanya bac uwe unazimua ukali wa maneno. USHA'NFAHAMU?
 
Pole...mbona watokwa mapovu? twende taratibu! sijaelewa point yako ni nini haswa!!

point yangu ni kwamba unatumia masaburi kufikiria na kujibu hoja, sasa sisi inakuwa ngumu kukuelewa maana umekalia.
 
hahah...Za wabunge wa CDM ndio zimejaa,,,,mbaya zaidi huwa hawaudhurii vikao, kazi kutoka tu nje! halafu wakifika majimboni wanawadanganya wananchi kuwa huwa hawasini posho! kweli huu ni ufisadi at highest degree
Katika kupambana na wezi haijalishi iwe CDM au NCCR au nani, kama ni mwizi lazima awajibishwe!!!!!!!!!!! Sasa mbaya saana hawa wezi wakubwa ndio watawala wa nchi hii ndio maana tunapiga kelele wajiudhuru au tuwalazimishe kujiudhuru, maandamano nchi yote vyama vyote bila kutetea wizi Ndg Rejeo, umenielewa?????????
 
ata wabunge wasaini elfu 80,000 kila mmoja,tukiingia kwnye kupokea pesa kwa siasa za bongo hakuna uanaharakati.ninatafuta namna ya kuscan niweke hapa,pale bungeni walisamalazi hasa viambatanisho
 
Hee Bwn Johnsecond ukisikia baraa hilo ni baraa, sasa huyu Mhs Pinda mtoto wa mkulima kwa nini yeye kama waziri mkuu asiulize hizi fedha tunazosaini na kupewa ni za nini?????????? Ni sawa kabisa na waziri Ngeleja pamoja na Malima walio saini 4 million bila kuuliza fedha hizi ni za nini, kweli tuna serikali ua usanii tuu!!!!!!!!!!!

Mkuu, watu wako katika kukamilisha "dili" zao. Yeyote anayewapinga wao ndiye atakayepigwa vita ya pande zote!
 
na hakuna atakaye resign! Kweli Viongozi wa ki tz ni noma, pinda mgongo alifikia stage ya kulia bungeni kuonyesha uzalendo wake! Then akatamka bungeni angekuwa ana madaraka angemtimua jairo, kumbe keshakula hela! These guys! in which trees have we picked our leaders! It seem everyone of them is rotten, wish they rot and perish, ooh what a wish.
 
Alikataa kwa sababu ilikuwa ndogo nape mwanzake angonga mpaka m10 M20 M30 halafu yeye laki 280 hata mimi ningekataa, Mtoto wa mkulima yeye kanyagwa twenda hat buku kumi kama polisi wetu yeye mkulima bwana
Teeeh Teeeeeh Teeeeeeeeh!!! Kaaazi kweli kweli. Eeeh na huyo Nape anagonga M10,20,na 30 kutoka wapi?
 
we mdada! Taratibu, cna hakika km kimeo unakifahamu vzr, haya huyo mz umsukumiae madongo ana kimeo ki1! Ww unamiliki vimeo vngp? Usianzishe STONEWAR wkt unakaa kwny nyumba ya vioo! Huyo mzee wengine sie mkwe we2 "Baba mzaa utamu/ucngizi wng" fanya bac uwe unazimua ukali wa maneno. USHA'NFAHAMU?

Hahahahahaaahaaa, mbavu zangu atii..haya mwambie huyo mkweo imani ya wadanganyika kwake inaporomoka kwa kasi ya ajabu...maneno yake na vitendo haviendani...
 
na hakuna atakaye resign! Kweli Viongozi wa ki tz ni noma, pinda mgongo alifikia stage ya kulia bungeni kuonyesha uzalendo wake! Then akatamka bungeni angekuwa ana madaraka angemtimua jairo, kumbe keshakula hela! These guys! in which trees have we picked our leaders! It seem everyone of them is rotten, wish they rot and perish, ooh what a wish.

kale kazee ni kanafki sana hafai msikitini wala kanisani
 
PINDA ni KIMEO kuliko JK
We Mdada Maria taratibu bac! csemi ucfunguke laa! Funguka ado'ado, huyo Mz umsukumiae midongo wengine Sie mkwe we2! "Baba mzaa utamu na ucngizi wng" usichokoze STONE-WAR wkt unaishi kunako nyumba ya udongo, aidha cna hakika km kimeo unakifahamu vzr, haya ukiulizwa Mz Pinda anamiliki kimeo ki1, ww unamiliki vmeo vngp? Jb unalo?
 
Nimesoma mwanahalisi la leo kumbe Pinda na Makinda nao walisaini pesa za jairo ili hali wenyewe serikali inawalipia kila kitu.

Hao wawili walisaini kila mmoja 280,000 kwa kikao kisichozidi dakika 40. Sasa huyu ndo yule aliyekataa shangingi na ndio maana alikuwa mstari wa mbele sana kutetea bajeti huu ni uhuni sana!

Ndo maana siku zote nasema ccm ni bom na litalipuka siku yoyote
 
Nyie mlipomwona anajilizaliza pale bungeni mlifikiri ana uchungu na albino au alikuwa anaogopa asinyang'anywe nafasi ya kuchakachua buku , buku 10, 20, 280 nk? Kwa kweli mtoto wa mganga wa kienyeji (maana ufipa ndo kwenyewe) anaonekana ni simba mwenda pole. Inawezekana hana tofauti na rostam
 
Kichwa cha Utawala wa CCM kilishakatwa na Mungu mwenyewe na kilichobaki ni kiwiliwili ndo kinatutisha tisha kinapotapatapa. Jamani kama kwenda mbele CCM wameshindwa je rivasi (kujisafisha/kujivua gamba) ambayo ndiyo ngumu wataweza wapi. Mtu anayeona mbali hawezi kuendelea kuji identify na CCM ni vema akawa neutral kwani hawa wakereketwa ndo wanasababisha tunapigwa risasi wakati tayari walishapoteza grip kwa wananchi na siku ikifika tutawafuata waliko na baada ya kulipa kila teso walilopata waTZ kutokana na wao kung'ang'ania madaraka tutawapeleka the Hugue
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom