Ukisikia Pinda ni mnafiki ona sasa haya

wengine tulipoambiwa kuwa ccm ni JANGA LA KITAIFA hatukuelewa na wala kuweka bidii ya kujifunza walichokuwa wanamaanisha kwa kusema hivyo! Mkija kujua hilo, muda hautokuwa wetu tena
If this is true then we have a huge mountain to climb. I guess Jairo & CO will be free in this issue though not ASAP.
 
basi tutangaziwe tu kuwa bongo ni nchi ya dili, piga dili uwezavyo hata km ni kuuza kambi ya jeshi uzaa ili mradi kila mtu ni mwizi
 
Na DR Kafumu alisign about TZS 940,000 a day. Jamaa hana hata mwezi Bungeni lakini tayari kachafuka.

Huyo hamfikii Mheshimiwa sana DAVID JAIRO aliyekunja 7.4M kwa siku afu tuwategemee hawa eti wapandishe kima cha chini na kudeal na ishu za inflation au mrahaba wa kipuuzi tunaopata toka sekta ya madini..sasa nimeelewa kwanini walibuni hiyo kauli mbiu yao ya miaka 50..
 
Haya tena makubwa, viongozi wote wako kwa maslahi yao binafsi na siyo ya wananchi na ndio maana wanalindana
 
wapi wanachama wa ccm-magamba mtueleze uzuri na uadilifu wa serikali hii ya kifisadi?na je lini mnatarajia mtaisafisha au mtakomesha kabisa ufisadi huu ambao unaanzia ngazi ya shina haid Taifa na inaanzia ofisi ya mtendaji wa kijiji hadi Ikulu?

Au nanyi mnaokipigia kura chama hiki cha majambazi kuna kitu mnafaidika wenzetu?kwa mfano sasa hivi sukari ni karibu Tsh 3000/- wenzetu wa CCM mnanunua kwa shilingi ngapi kwa kilo? na hayo mafuta ya taa,dizeli na petroli vipi nyie petrol station zenu ziko wapi?

Vipi dala dala kwa wakazi wa DAR na Express kwa Mwanza na Vioford kwa wakazi wa Arusha kuna za wana CCM na wale tu waliokipeleka Magogoni chama hiki?basi wenzetu kama mna mahali mnapopata huduma tofauti na sisi tuliokataa kushiriki na mafisadi kuwafisadi wenzetu ndani ya nchi moja basi mbarikiwe.

Watch out, tuache ushabiki wa simba na yanga au Man six na Arsean 8 hapa kwenye maisha. Liserikali limetushindaaa,pigeni mbiyu muwe wana wa ukweli na mtainusuru nchi hii na wanenu na vitukuu na mijemngo yenu itabaki salama.vingenevyo UMMA utakuja kuwahukumu
 
Aibu mtoto wa mkulima noma
HATUFAI, NAFIKIRI AITWE JINA LINGINE LA MTOTO WA MKULIMA HALIMFAI, ABATIZWE HUYU
 
ndo maana beatrice shelukindo aliwatetea ngeleja na malima wasijiuzulu kwa kukusema kwamba hawa wakijiuzulu basi watajiuzulu wengi kwenye hii kashfa, serikali imeoza jamani inanuka kama shombo la samaki
 
Kidogo tu ungetukana....
Kila jamii ikiangamia lazima kutabakia masalia yawezekana pia Januari akawa masalia ya CCM. Na pia tukupumbe ile Darwin Theory of Evolution and survival of the fittest na yale maelezo kuwa sio lazima mtoto wa daktari awe daktari
 
Hakuna msafi ktk Serikali hii.
Mbaya zaidi alishawahi kuapa kanisani kuwa siku akipokea rushwa Mungu aichukue roho yake.
 
John II ! Th's news we need. Unatushushia v2 vnaeleweka, na ni kwl kw 2lio mbali (km mimi niko Mwz) Mwanahalisi kufika ni jioni, "data with testmon" namna gani inaonesha your parents hawakupoteza mikwanja yao kukupeleka shule! Unaweza ukajiuliza ni kw nini nakupa uzito nna specific means! Jana ktk jukwaa hili somebody Mmemkwa ka2letea B/news ambazo ni nyeti kwmb tayari Mh. Mamvi EL na Mh. Ex Aton Gen. Washavuliwa kama magamba! Hbr zile hazikua na Source, pa1 nakua gazeti somtyms c lazima liwe actual bt atlist u hv a soure! Jana 2lipata usumbufu usio wa lazima.
Naomba kutoa hoja!
 
No this is not serious...ndo maana alikuwa mpole akijua nn kinafuata..pia nimetokwa na imani na ile kamati itakuwa imemwonea jah hiro.....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom