Emanuel Makofia
JF-Expert Member
- Jan 5, 2010
- 3,832
- 630
mpaka kizazi hiki cha nyoka kitakapoangamia!!:evil:
Huwezi bong'oa namna hii ukiwa Mombasa walah utajuta
hicho kichwa cha habari ni kivutio tu ili uingie kucheki hiyo picha,usiwe na jazba,presha inauwaKichwa cha habari na habari yenyewe tofauti kabisaaaaaaaaaaa...
Kuhusu huo mti, huwa kuna watu wakorofi, wanakuuzia kiwanja halafu baadae wanakugeuka kuwa wlikuuzia kiwanja hwajakuuzia miti, na huwa wanadai kulipwa kwa ajili ya miti hasahasa minazi. Wakikutana na kichwa ngumu ndio anaweza kuwaambia basi mtu wako nauacha siukati ila na wewe usiingie kwenye kiwanja changu. Matokeo yake ndio nyumba kama hii...
Huwezi bong'oa namna hii ukiwa Mombasa walah utajuta
Mmmh! Sometimes huwa wanabadilika kama hakufahamu vile.Yah mshkaji wa ukweli, hawezi kukusaliti huyu, hata kwa kilo ya nyama mbichi.