Mayu
JF-Expert Member
- May 11, 2010
- 6,637
- 10,723
Kuna mambo ambayo yanachukuliwa kuwa ni ya asili(natural human behavior) kama kula, kulia, kucheka, sex nk nk. Yaani huitaji kufundishwa ndio uvifanye, vinakuja vyenyewe by instinct
Lakini kuna mambo ambayo ni ubunifu tu wa binadamu, mambo hayo yanahitaji ujifunze ili uyajue, hayaji yenyewe by instinct
Nikawaza hivi denda(kisses) ni kitu cha asili? Kina kuja by instinct unapokua kwenye mapenzi au unafanya kwasababu umejifunza, umeona watu wanakiss au kusikia watu huwa wana kiss?
Je kuna jamii ambazo hawana hizo mambo kabisa?
Je mababu wa mababu wa mababu zako huku Gezaulole walikua wanapigana denda kweli kabla wazungu hawajaja?
Je umewahi kukutana na partner ambaye hapendi denda? Au wewe mwenye binafsi huoendi denda? ....... kwanini?
Kushare mate na mwenza wako linaonekana kama sio jambo salama sana kiafya lakini pia lina ukakasi wa kinyaa iwapo usafi wa kinywa usipo zingatiwa.
Nini UMUHIMU wa denda?