Ukisikia maendeleo ndio hayo!!

kama mnataka kufa jaribuni barabara za juu,kaangalieni kipande cha misigiri shelui kwenye jimbo la mwigulu(sekenke) ndipo mtapata picha kuwa tukijenga za juu baada ya miaka mitatu tutakuwa tumekufa wangapi?

kampuni zote za ujenzi wa barabara zenye akili zilishakimbia nchini siku nyingi,labda muwaambie kuwa utawala uliopo si wa ccm tena.
 
ila kama una msaidizi wa kweli unaweza kulipunguza kimtindo
 
Attachments

  • joto.jpg
    joto.jpg
    37.2 KB · Views: 351
hivi huu mti uliota kabla ya kujengwa nyumba au baada ya kujengwa??!!na kwa vyovyote vile mmiliki wa nyumba hiyo anastahiki pongezi kwa kujiongezea sababu za kufa!!!
 
Attachments

  • 4.jpg
    4.jpg
    34.2 KB · Views: 75
Hata New Delhi India kuna fast train system ya mtindo huo
 
Kichwa cha habari na habari yenyewe tofauti kabisaaaaaaaaaaa...

Kuhusu huo mti, huwa kuna watu wakorofi, wanakuuzia kiwanja halafu baadae wanakugeuka kuwa wlikuuzia kiwanja hwajakuuzia miti, na huwa wanadai kulipwa kwa ajili ya miti hasahasa minazi. Wakikutana na kichwa ngumu ndio anaweza kuwaambia basi mtu wako nauacha siukati ila na wewe usiingie kwenye kiwanja changu. Matokeo yake ndio nyumba kama hii...
 
mti wa kivuli huo,ukichoka kukaa ndani na joto la dar unatoka uani unajipumzisha kwenye kivuli!
 
mwanaume wa kweli huwa hajishuku,hapana hofu kama tunda limewiva hata bila kuinama wahusika watajua mzigo unapita huo!
 
Kichwa cha habari na habari yenyewe tofauti kabisaaaaaaaaaaa...

Kuhusu huo mti, huwa kuna watu wakorofi, wanakuuzia kiwanja halafu baadae wanakugeuka kuwa wlikuuzia kiwanja hwajakuuzia miti, na huwa wanadai kulipwa kwa ajili ya miti hasahasa minazi. Wakikutana na kichwa ngumu ndio anaweza kuwaambia basi mtu wako nauacha siukati ila na wewe usiingie kwenye kiwanja changu. Matokeo yake ndio nyumba kama hii...
hicho kichwa cha habari ni kivutio tu ili uingie kucheki hiyo picha,usiwe na jazba,presha inauwa
 
Yah mshkaji wa ukweli, hawezi kukusaliti huyu, hata kwa kilo ya nyama mbichi.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom