Ukimya wa upinzani katika Matukio yanayotokea nchini, kulikoni?

kitero

JF-Expert Member
Feb 21, 2012
563
109
Ukimya wa CHADEMA na chama cha wananchi CUF kutokana na matukio yanayo endelea kutokea hapa nchini ni udhaifu mkubwa sana ktk kuonesha kama hawajali inasibitisha kuwa bado wachanga kwa maswala ya kitaifa.

Matukio kama kukojolewa kitabu kitukufu cha waislam ,viongozi kimya si chadema wala cuf. Kuchomwa kwa makanisa viongozi kimya si CHADEMA wala CUF.

Kuuawa kwa polisi zanzibar viongozi kimya si CHADEMA wala CUF. Kuwa kimya ktk matukio makubwa kama haya kunaonesha kutokuwa tayari kuwaongoza watanzania.

Pia ni ishara ya kukosa huruma huku wanapo kuwa na matukio yao ya kisiasa au kijamii huwataka wananchi kuwaunga mkono.

CCM wao wametoa tamko tuwewaona aibu ipo kwa CHADEMA na CUF, mbona kimya kulikoni?
 
Muhimu si matamko bali matendo.

CCM walipanda mbeguu ya machafuko haya na kuyapalilia na sasa mwenyekiti wake anakata mitaa Oman na kwingineko. Ni ishara mbaya kwa mkuu wa nchi kwa nchi anayoipenda.

Mauaji si lazima yawe ya polisi ndipo yaonekane mabaya na si sawa kwa matamko ya visasi yaliyotolewa na wakuu wa polisi kama kuna utawala wa sheria. Ajabu kuona shehe Ponda na wenzake hawakufichwa na kukingwa na polisi kama yule muuaji wa Mwangosi na sidhani kama sheria inawataka polisi kumficha muuaji polisi na kumuumbua muuaji mwengine. Double standard governance.
 
watanzania have reached at a boiling point, serikali iko responsible 90% ya yanayojiri sasa, ziki imezidi tunakotoka afadhali tunakoelekea hatari, watu wamechoka physically and mentally tumekuwa very easy to be manipulated or brain washed. kama hatukua makini tukaachana na udini, umadhehebu, uchama, usomi, ujinga, ukanda, ukabila etc, tukajielimisha kutoka kwa nchi zilizofikwa na maafa haya, tutakuja kutafuta way-out by any cost na tusiipate, ukitaka kujua utamu wa amani tembelea kusiko kua na amani, serikali inatakiwa iende rehab, inatakiwa ivichukulie vyama vya siasa, taasisi za dini, kama wasaidizi wao ktk ujenzi wa taifa (to work as team or as a family members)badala ya kuwa treat kama outsider au catalyst ya kuleta machafuko.
 
ccm ndo wenye madaraka,na wewe umekuwa mwathirika wa matamko.
mwambie rais wako achukue hatua.
 
Chadema walisema nchi haitatawalika mkadhani wanatania, wameandamana wameona haisaidii sana na sasa wameona ni bora kuwatumia hawa wajinga wajinga wanaosali kama wanakula nyasi.
Mpumbavu wewe kuwa na heshima na dini za watu ulikojolewa na padri nini?


using JamiiForums
 
Chadema walisema nchi haitatawalika mkadhani wanatania, wameandamana wameona haisaidii sana na sasa wameona ni bora kuwatumia hawa wajinga wajinga wanaosali kama wanakula nyasi.

acha kufikiri kwa kutumia masaburi nyang'au wewe.
 
Watu huwa hamkosi sababu ya kulaumu, well Molemo kakupa jibu linalokufaa!!!
 
Last edited by a moderator:
Cdm wakisema mtasema ni wakristo wanasema. Muislamu wenu ndo aliyepanda hiyo mbegu ya udini na kuipalilia. Ntafurahi cdm wakiendelea kukaa kimya na kuachana na hawa walakitimoto wazuri wanaoiita haramu. Maana wametumwa na nyinyiem ili kuhusisha vyama vya siasa kwenye fujo zao.
 
Kuna watu wanakera, ni wajinga, upeo mdogo wanasumbua watu tu humu JF! Mtu mwenyewe kajiunga JF tar 25, Sept, 2012. P.u.m.b.a.v.u kabisa!
 
Ndg,

CCM haitakiwi kutoa tamko anayetakiwa kutoa tamko ni kiongozi mkuu wa CCM kumbuka kuwa hiki ni chama tawala tulitarajia rais, ambaye ni mwenyekiti wa chama cha CCM. chaajabu kaenda MBAGALA Saa 12 jioni asubuhi kapanda ndege kaenda nchi ya kiarabu(kiislamu) OMAN kutafuta fursa za kibiashara wakati sisi maisha yetu ametuacha rehani.

pia kumbuka CHADEMA na CUF vyote vinahusishwa na UDINI hauoni kuwa kutoa kwao tamko kutazua balaa ukizingatia kuwa WATANZANIA wengi ni vichwa nazi, yaani ni wagumu wa kuelewa, ukimya wao naona ni sahihi kabisa wangekua viongozi wa nchi, yaani dola labda wangeeleweka, wapi PINDA, wapi KIKWETE, wapi NCHIMBI? upuuzi mtupu.

CCM wafitini, wadini, wachonganishi, NA ni viongozi wanaojali maslahi binafsi tu.
 
CCM imepanda yenyewe mbegu hizi, wao ndio wameshika dora Tamko la nini? Watu tumechoka na Matamko au Kamatis tunataka matendo
 
CUF na CHADEMA ni vyama vya siasa na si vya dini. Jambo linaloendelea ni tata na linahitaji busara kuliendea. Sidhani kama ni vyema siasa kuigizwa humo.

By the way, ni suala la dola kufanya kazi yake. Au wewe unaamini katika matamko zaidi ya sheria? Au umetumwa?
 
mnataka Cdm watoe tamko mpate cha kuongea komaeni tu. hamchelewi kusema Cdm ndo walomtuma huyo kijana akjolee masahafu.
 
Chadema walisema nchi haitatawalika mkadhani wanatania, wameandamana wameona haisaidii sana na sasa wameona ni bora kuwatumia hawa wajinga wajinga wanaosali kama wanakula nyasi.
Ndugu kadigidi hapo umeyumba ndugu yangu, hakuna sababu ya kukebei imani za wenzio, hapo na wewe unaunguna na wale wanaokashifu imani za wenzao, ambapo ndo tunapiga vita mtindo huwo, punguza jazba bado hatujapotea sana tunaweza kurudi tulikotoka, ila kwa nguvu zetu wenyewe na si kwa kutegemea gv yetu.
 
Kimsingi nimependa wachangiaji ambao wao wanajenga hoja ama kupinga au kushauri au kuunga mkono kama ndugu ENZIHURU,NORBITI na MCHUNGAJI nyie mnafaa kuzungumza siasa safi sana pia sipendi tabia ya kuropoka ropoka kama ndugu MWANAMTOKAPABAYA neno umetumwa pia sipendi matusi na kashifa kama ndugu KANIGINI kwani tabia ya mtu mwenye matusi na kashifa ni sifa ya mtoto wa zinaa.
 
cdm naomba mungu muendelee kukaa kimya hivyo2,slaa najua una hekima huwezi kuropoka
 
Back
Top Bottom