ulitaka wafanye nini wakati
(i) mambo haya yako mahakamani majibu yanayotolewa kila siku na ccm.
(ii) haya ni mavuno ambayo ccm anavuna kwani aliyapanda wakati wa kampeni za uchaguzi
hivyo acha wavune mazao ili chakula hiki kitufae tusife watz.
(iii) serikali ya ccm kila siku inatuimbia kuwa inadumisha amani sasa suala dogo kama hili
sidhani inahitaji msaada wa kusemewa toka kambi za upinzani.
(iv) mbona kwenye M4C n.k kupitia upinzani inadhibiti inakuwaje kikundi cha huyo PONDA n FARID ishindwe?
(v) Mwanza nguvu kubwa inatumika kusaka walioua RPC hivyohivyo naomba itumike kutambua
wanaosumbua na kuhatarisha AMANI ya Nchi yetu.