Chadema haipaswi kutoa tamko lolote kuhusu hizi fujo. Waacheni CCM na CUF wfe na kuzikana. Huko Zanzibar Mtu na Mkewe wanalumbana. Unadhani kujiuzulu kwa Jusa ilikuwa kwa kazi gani? matunda yake ndio haya na muda huu inawezekana amebana chemba na kiongpzi wa Uamsho wanasikilizia watanzania wanavyomalizana wenyewe