Ukimya wa upinzani katika Matukio yanayotokea nchini, kulikoni?

ile prophesy aliyotoa brother PASCO kweli imetimia.

mchangiaji huyu aliwahi kusema maneno humu juu ya wachangiaji ambao ni wa wapenzi wa CHADEMA kukataa any criticisms au kuwa questioned akatukanwa matusi ya kila namna.

Yaani watu wako so blinded na mapenzi kiasi cha kukataa kuona zaidi ya yaliopo machoni mwao.

CHADEMA wanataka kuchukua nchi in 2015, katika hali ya kawaida kama vilivyo vyama vya upinzani ambavyo ni professional kwenye kazi yao walitakiwa watuletee ufumbuzi mbadala na kuleta tathmini ya hali halisi kwa kupitia think tanks ambazo ziko sympathetic nao lakini wapi.

Naamini kuwa wapo wana Jamii forums ambao ni CHADEMA na wangependa kumwona waziri kivuli wao akiita press conference na kutoa tamko la hali halisi ya usalama na hizi vurugu in particular. Tumeona Romney alivyotoa tamko baada ya ubalozi wa Marekani kushambuliwa kule Benghazi (japo hakuwa na facts za kutosheleza), tunaona wapinzani Kenya, Sout iliopo hapa TanzamJamiiforums imeu na hasa humu JF watu wanakuwa bullied kwaku question CHADEMA na kimya chao. Hii inatisha kwenye demokrasia na inaonyesha wazi kuwa mashabiki wa CHADEMA wakichukua nchi hali itakuwaje.

Hii ni hatari sana kwa democrasia.


Kutaka ku-politicize hii issue ni kufilisika kwa hoja. Na hii obssesion ya kutaka kusikia kauli toka CHADEMA kwa kila jambo pia dalali ya kutojua 'what to do' na hivyo kutafuta 'majawabu' toka kwa mwingine.
 
Ukiangalia heading na yaliyo andikwa huto muuliza swali lolote mtoa mada kwani ana onekana hajui lolote ye anachojua ni kudai tamko tu, ukimuuliza baada ya tamko utafanya nini hato kuwa na jibu!
 
Ukiangalia heading na yaliyo andikwa huto muuliza swali lolote mtoa mada kwani ana onekana hajui lolote ye anachojua ni kudai tamko tu, ukimuuliza baada ya tamko utafanya nini hato kuwa na jibu!

umesema kweli, manake nimetoa tamko humu jamvini naona limemtia kizunguzungu.
 
Mpumbavu wewe kuwa na heshima na dini za watu ulikojolewa na padri nini?


using JamiiForums

Kanigini ni mpuuzi kwa kuhusisha matokeo ya mbegu za udini zilizopandwa na ccm na kukibambikizia chadema na kukashifu dini za wengine! Lakini na wewe pia ni mpuuzi kwa kudhani kuwa upadri ni dhambi, ilhali unajua ni utumishi kwenye dini kama ninyi mlivyo na mashehe na maimamu!
 
watatoa tamko gani wakat nao ni waandamanaji namba moja nchi hii,,,,,,

CHADEMA ni chama makini hakina muda mchafu wa kujadiliana na magaidi hao wanaochochea fujo na kuua askari CDM INGEKUA MADARAKANI GAIDI FARIID,GAIDI PONDA wote wangeshakua kaburini pumbafu kabisa hao
 
kamuulize Nape na Jussa.By the way waislam nao wapate homework wajiulize hivyo vyma vilivyokuwa vikijinasibu kuwa vinaupenda uislam vinafanya nini sasa hivi.CCM ndio wanaopigana nao,CUF ndio kama unavyowaona wanawatuma nyuma ya mgongo halafu wanshuhudia wakiadhibiwa hadharani. Ilike the way things are evolved.CDM watakuwa thaminisha tuu kazi ya CCM na CUF na hasara kwa waislam na wasio waislam.Kwa ujumla CCM imemaliza wananchi na nchi kwa kuingiz ahya makundi katika taabu.Kitu kizuri wamefanya hayo na wanavuna ktk kipindi kifupi sana.
 
Chadema si kwamba haitaki kutoa tamko ila ikumbukwe ccm wamewaaminisha waislam kuwa chadema ni chama cha wakristo. Inahitajika busara kubwa

teh teh...sasa hivi ndipo waislam wanahitajika nao kutumia busara na fikra kuona nani kawafikisha hapo na bora kipi?Km kingekuwa cha Kikristu kweli halafu kina faida kwa muislam kuliko vyama vya kiislam(CCM+CUF) kuna haja gani kukion adui?Waislam waangalie kama kweli CCM kipo upande wao na wapi mfumo kristu umejikita.
 
Ukimya wa CHADEMA na chama cha wananchi CUF kutokana na matukio yanayo endelea kutokea hapa nchini ni udhaifu mkubwa sana ktk kuonesha kama hawajali inasibitisha kuwa bado wachanga kwa maswala ya kitaifa.

Matukio kama kukojolewa kitabu kitukufu cha waislam ,viongozi kimya si chadema wala cuf. Kuchomwa kwa makanisa viongozi kimya si CHADEMA wala CUF.

Kuuawa kwa polisi zanzibar viongozi kimya si CHADEMA wala CUF. Kuwa kimya ktk matukio makubwa kama haya kunaonesha kutokuwa tayari kuwaongoza watanzania.

Pia ni ishara ya kukosa huruma huku wanapo kuwa na matukio yao ya kisiasa au kijamii huwataka wananchi kuwaunga mkono.

CCM wao wametoa tamko tuwewaona aibu ipo kwa CHADEMA na CUF, mbona kimya kulikoni?

Kwa mtazamo wangu ni suala la mtazamo finyu kwa vyama vya upinzani-CCM wanatawala kwa hiyo kila upuuzi unaotokea ni ADVANTAGE kwa wapinzani. Bahati mbaya migogoro kama hii ya kidini inatuhusu SOTE kwani waumini sio wote wanajihusisha na siasa!

Ushauri wangu; kama kweli vyama pinzani viko serious kutwaa uongozi wa nchi yetu, ni muhimu vianze kutofautisha MIUPUUZI YA CCM na masuala ya kitaifa sensitive ambayo kwa kukaa kimya hata wakitwaa utawala wa nchi itawasumbua nao pia kwani watarithi nchi iliyogawanyika kidini!
 
Hacha kuwa mvivu wa kufikiri.

Kutokana na hiyo namba IV, unaconfirm kuwa CDM ni chama cha Wakristo? Nilikuwa siamini hili, ukimya wa CDM na Post za members humu sasa zimenipa jibu.
Kwa mtaji huu, sahauni kuchukua nchi 2015.
Eti leo hii watu wanakataa kuwa yule sheikh ZNZ hakutekwa, angekuwa Mkristo mngekuwa mnalalamika sasa hivi kuwa alitekwa.
 
Kwa hiyo mnataka kuendesha nchi kwa kutegemea matamko ya watu?

Huu ni udhaifu mwingine na maneno ya Mnyika yana zidi kujidhihirisha.
 
Ukimya wa CHADEMA na chama cha wananchi CUF kutokana na matukio yanayo endelea kutokea hapa nchini ni udhaifu mkubwa sana ktk kuonesha kama hawajali inasibitisha kuwa bado wachanga kwa maswala ya kitaifa.

Matukio kama kukojolewa kitabu kitukufu cha waislam ,viongozi kimya si chadema wala cuf. Kuchomwa kwa makanisa viongozi kimya si CHADEMA wala CUF.

Kuuawa kwa polisi zanzibar viongozi kimya si CHADEMA wala CUF. Kuwa kimya ktk matukio makubwa kama haya kunaonesha kutokuwa tayari kuwaongoza watanzania.

Pia ni ishara ya kukosa huruma huku wanapo kuwa na matukio yao ya kisiasa au kijamii huwataka wananchi kuwaunga mkono.

CCM wao wametoa tamko tuwewaona aibu ipo kwa CHADEMA na CUF, mbona kimya kulikoni?

mkuu sina interest na magamba,wala ngangari...lakin kwa hili vyama pinzani WAMECHEMSHA.!
 
By Kanigini Chadema walisema nchi haitatawalika mkadhani wanatania, wameandamana wameona haisaidii sana na sasa wameona ni bora kuwatumia hawa wajinga wajinga wanaosali kama wanakula nyasi.

:biggrin1::biggrin1: umenivunja mbavu zangu :biggrin1:
 
Back
Top Bottom