likalalulisimula
Member
- Oct 10, 2022
- 29
- 21
ni rafiki yako kweli au ni wewe mwenyeweUKIMWI upo ndugu zangu , nimetoka kumpeleka rafiki yangu hospital kupima ukimwi , ameathirika aisee , analia mpaka basi, amekata tamaa.
Tuwe makini na wadada.
ni rafiki yako kweli au ni wewe mwenyeweUKIMWI upo ndugu zangu , nimetoka kumpeleka rafiki yangu hospital kupima ukimwi , ameathirika aisee , analia mpaka basi, amekata tamaa.
Tuwe makini na wadada.
Yan mimi siku hiz hata nikiwaza tu kuchepuka, dushe linanyweeaaa.. sijui wife kashanitengeneza au? Sina hata hamu ya kutoka toka nje huko siku hizNdio tusiuze mechi
Mzee ikipita 72hrs hiyo hamna cha maambukiz wala wala virus hiyo imekula kwako. Kuhudhuria clinic na kumeza dawa ndio kitu pekee cha kukuweka tofauti na wengineKuna ukimwi na maambukizi ya virus kaka elewa
Huyu sio wa hivyo. Huyu ramba ramba hapa pale hiv vile..si unaona hapo kasema anahis kautoa kwa flan means hana uhakika kaukwaa wapi exactlyMaskini! Afu wanaopata ni wale “em ngoja nijaribu😞
Kuna HIV and Aids pitia concepts hizi utanielewaMzee ikipita 72hrs hiyo hamna cha maambukiz wala wala virus hiyo imekula kwako. Kuhudhuria clinic na kumeza dawa ndio kitu pekee cha kukuweka tofauti na wengine
Hapo UDOM sindo huwa kuna intake ile ya Mama Salma? Au siku hizi haipo!Vyuo ni hatariView attachment 2926839
Sasa amekata tamaa kivipUKIMWI upo ndugu zangu , nimetoka kumpeleka rafiki yangu hospital kupima ukimwi , ameathirika aisee , analia mpaka basi, amekata tamaa.
Tuwe makini na wadada.
Hata kama una wife pangeni utaratibu wa kupima kila baada ya mida flan, hawa watu wa kwenye ndo wanaambukizana moto balaaYan mimi siku hiz hata nikiwaza tu kuchepuka, dushe linanyweeaaa.. sijui wife kashanitengeneza au? Sina hata hamu ya kutoka toka nje huko siku hiz
Atahisi sana ukiupata uanze dozi.. Kwani alikua anaumwa umwa?Anayemuhisi kuna demu tunasoma nae mwaka wa TATU
Nazinyaka vyedi kabisa.Kuna HIV and Aids pitia concepts hizi utanielewa
😄😄😄 Kashachelewa 😭Sasa analia nini
Ni kwel. Nachozungumzia ni kwamba atleast i m tryimg to reduce the chances yeye siwez msemeaHata kama una wife pangeni utaratibu wa kupima kila baada ya mida flan, hawa watu wa kwenye ndo wanaambukizana moto balaa
Mbona magonjwa mengi hayana tibaWazazi wake Iringa washapata taarifa? Ugonjwa hauna tiba mnaenda kupima ili iweje? Mfe kwa stress?
Wewe unaebwabwaja hapa unaona hufi?Amekata tamaa anaona anakufa
0786088074 Kwa Tiba.UKIMWI upo ndugu zangu , nimetoka kumpeleka rafiki yangu hospital kupima ukimwi , ameathirika aisee , analia mpaka basi, amekata tamaa.
Tuwe makini na wadada.