UKIMWI upo ndugu zangu

Ukimwi upo ndugu zangu nimetoka kumpeleka Rafiki yangu tupo chuo mwaka wa TATU ameathirika aisie analia mpka basi amekataa tamaa , tuwe maskini na wadada wanachukua kwa masponser
Serikali inajitahidi kutoa matangazo daily, vijana mjikinge, gonjwa bado lipo. Asie sikia la mkuu huvunjika guu, nampa pole, mtie moyo sana, azingatie tu matibabu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom