UKIMWI upo ndugu zangu

Asilile ,mbona kawaida ,afanye mazoezi ,ale vizuri ataishi maisha marefu sana ,mimi kuna sister namjua ,2004 aligundulika na ngoma ,2008 ikampiga hasa akaanza ARV ,yupo anadunda fresh mpaka leo...Aliipata kwa mmewe kicheche.
Alimsamehe mume wake au wameachana??
 
Alimsamehe mume wake au wameachana??
Yupo anaendelea naye na kuna % ya salary anachukua yeye(ke) maana jamaa mwingi wa habari anazidi kusambaza rungu kama comrade kipepe ,anaambukiza mademu ovyo.....Nadhani TACAIDS waweke email ili watu wawe wanatoa taarifa fiche za watu kama hao wanaosambaza "UMEME" kusudi.
 
Asilile ,mbona kawaida ,afanye mazoezi ,ale vizuri ataishi maisha marefu sana ,mimi kuna sister namjua ,2004 aligundulika na ngoma ,2008 ikampiga hasa akaanza ARV ,yupo anadunda fresh mpaka leo...Aliipata kwa mmewe kicheche.
hivi kwann kila mtu anasakizia fulan ndo anao

watu hawajisemi kama ni wao wenyewe ndo wenye hii maneno
 
Wale waliopo Tiktok mke na mume ,mke kaathirika na mme hajaathirika kwa hiyo
Ukimwi kuna watu hawaambukizwi??maana wamezaa hadi watoto na hawatumii condom

enyew na mmi najua ni mpka kuwepo na michubuko kati ya hao watu wawil ambap wakifanya contact ya dam huo ugonjwa ndo unatokea,, sas kwa hao wanandoa itakua huwa wanaandaana vizur na mume kuhakikisha mke ameloa kabisaa ndipo wanashiriki tendo na mara nyingi kwa watu wa namna hii huwa hawafany mapenz ya mda mrefu yan masaa mengi unakuta ni dakika chache tu ili kuendelea kulindana na pia huwa wanaepuka hiz mambo za kushare vitu vyeny ncha kali au vile vitu vinavyo weza kusababisha wapate maambukizi
 
Yupo getoni mwangu
Ebu mpige picha tuone anavyohaha saiv.

Niliwah kuwa na mahusiano na mdada anayafakaz kwenye hicho chuo, Kila siku nilikua namfata stand na kumpeleka kwake ila nilikua siingii ndani... Kuna siku alinishawishi sana nilale kwake japo nilikubali ila visingizio nilitoa vya kutosha but ikashindikana

Tukaingia ndani zen tukaanza uchokozi wa wapendanao ikafikia hatua mbaya kosa alilolifanya alisema ngoja kwanza akaoge, alivorud mim nikiwa nimelala kitandani akanirukia Kwa furaha mtoto alikua mzuri balaaaaa Ile rangi ya mapaja ilikuwa ni moto.

Mungu alivyowaajabu nilijikuta nimemsukuma ghafla pembeni na kumwambia twende tukapime kwanza( wazo la kupima sikuwa nalo nilijikuta tu nimefanya hivyo bila kufikiria hapo ndo ujue mungu akitaka kukuepusha na kitu fulani hashindwi kitu)

Kwa shingo upande akakubali tutaelekea hospital na dokta akatuambia tuje kesho twende hospital kubwa maana mmoja wetu hayupo vizuri hivyo tukaangalie mnazi mmoja.

Mm nilikua naijua afya yangu na nazijua saikolojia za wanawake namna wanavyoshindwa kuhimili mambo kama hayo, nikamuomba msamaha sana kwamba Kuna sehem nilichepuka inawezekana ndo nimeambukizwa huko, basi naye akanipa pole sana na kushukuru nimemuokoa asijue kwamba ni yeye ndo mwenye tatizo. Kesho yake alinitafuta sana anipeleke hospital ila nikapiga chini coz ningeenda yeye ndo angeonekana ameungua halaf ningepata kazi ya kumtuliza

Tukapotezana

Majuzi namuona amepost tik tok mada za kumeza dawa na hajali kuhusu watu wanamchukuliaje, nikajisemea kimoyo moyo kwamba tayari ameshajijua


Mimi ni mtu wa kusafiri sana na huwa nakaa muda mrefu hivyo nikiwa narudi jambo la kwanza Kwa wife ni kupima mimba na ukimwi japo anahisi namuonea ila Hawa wadudu hawatabiriki Bora kinga kuliko kuombana msamaha na kuharibiana future
 
Yupo anaendelea naye na kuna % ya salary anachukua yeye(ke) maana jamaa mwingi wa habari anazidi kusambaza rungu kama comrade kipepe ,anaambukiza mademu ovyo.....Nadhani TACAIDS waweke email ili watu wawe wanatoa taarifa fiche za watu kama hao wanaosambaza "UMEME" kusudi.
Daah sijui kwa nini watu wenye ugonjwa huu wanapenda na wengine wapate
 
UKIMWI upo ndugu zangu , nimetoka kumpeleka rafiki yangu hospital kupima ukimwi , ameathirika aisee , analia mpaka basi, amekata tamaa.

Tuwe makini na wadada.
Sasa rafiki yako amekuamini kuwa utamtunzia SIRI ndio maana akafuatana na wewe kwenda kuangalia afya yake, ulivyo mtu wa hovyo usipaswa kuaminiwa kwa lolote, badala yake umekuja kumuanika humu.


Sad
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom