Kweli kabisaKwani kupata hiv kuna ujanja au ushamba mkuu? Ngoma anapata yoyote, awe mwaminifu anakutana na asiye mwaminifu...anapata.
Huwezi kutumia kinga kila mara, huwezi kuwa unapima kila mara.
Hakuna mwenye guarantee ya kutopata huu ugonjwa.