kwa hili la 2015 mbona tutashuhudia michango mpaka kwenye unyago jando n.k mbali kwenye makanisa na misikiti.
Songíto;2976000 said:jamani waislamu na shura ya maimamu mbona hamtoi tamko kuhusu hiyo kanzu ya mbowe? nilitarajia hili kwa kulidhalilisha vazi hilo
View attachment 43320
source : Michuzi blog
Hapa ni Machame ,Hai akichangisha watu wajenge msikiti ujulikanao kama Rambo.