Ukiitizama picha hii ya mh mbowe unawaza nini? Siasa mmmmh

Tatizo kubwa tulilonalo ni watu kutoweza kutofautisha mila za kiarabu na mafundisho ya dini.Kama tungeweza kutofautisha hayo tusingefikia hapa tulipo leo.
 
kwa hili la 2015 mbona tutashuhudia michango mpaka kwenye unyago jando n.k mbali kwenye makanisa na misikiti.

Hata kule kwetu wataruhusu yale mambo ya ukekekekekeketa.........................i kwa mtiindo huu huu wa kutaka kura. :A S-coffee:
:juggle::juggle:
 
Songíto;2976000 said:
jamani waislamu na shura ya maimamu mbona hamtoi tamko kuhusu hiyo kanzu ya mbowe? nilitarajia hili kwa kulidhalilisha vazi hilo


Bakwata wanajiandaa mkuu
 
Alhaji mbowe.jpg
Hapa ustadh alikuwa anatoa mawaidha kwa waumini!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom