Ukiitizama picha hii ya mh mbowe unawaza nini? Siasa mmmmh

Jamani ina maana kweli uwezo wetu ndo umefiukia hapo tu!!!

Hivi kweli tumeshahu kuwa kanzu ni vazi tu!!!? Mara ngapoi Mwl. Nyerere alikuwa nava kibaragashia akiwa prezidaa, did that turned him to muslim or fixer?

Kanzu, Baibui, mitandio, sijui nini nini inyoendana na hayo ni mavazi tu ya kiarabu!! GHivi mna habari wakristu wa middle east wana-vaa kama hivi!!?
 
Hata kambarage alifanya mbinu hizo alipopata wazifa waisilamu walikiona kilichomfanya kuku kunywa maji shingo juu hadi hii leo waisilamu wamekuwa mashakani ,kambarage alikuwa anavaa mpaka taribusshi na kanzu ili kuwafanyia hadaa waisilamu na kwa imani za wasilamu waliamini kuwa alikuwa mtu mwema kwao leo wanajionea wenyewe .
Haya ndio matatizo yenu!!!udini hata katika mambo yasiyopaswa!!!ila utake usitake Nyerere was the best president till now ambaye amepata kutokea katika nchii hii!!Kwa nini nyinyi wadini?
 
Hata kambarage alifanya mbinu hizo alipopata wazifa waisilamu walikiona kilichomfanya kuku kunywa maji shingo juu hadi hii leo waisilamu wamekuwa mashakani ,kambarage alikuwa anavaa mpaka taribusshi na kanzu ili kuwafanyia hadaa waisilamu na kwa imani za wasilamu waliamini kuwa alikuwa mtu mwema kwao leo wanajionea wenyewe .
Hata Mkulu wa boma alipiga magoti akaombewa na Maaskofu na kutubishwa lakini rushwa na ufisadi ni pale pale siasa si-hasa !!!!!!!!!
 
Songíto;2976000 said:
jamani waislamu na shura ya maimamu mbona hamtoi tamko kuhusu hiyo kanzu ya mbowe? nilitarajia hili kwa kulidhalilisha vazi hilo

Ina maaana hana udhu au???
 
Hilo vi vazi tu.......hapa watu wako kanisani Nablus, wakristo wa kiarabu

arab-christian.jpg
 
Jamani tusijadili na wala tusihusishe na maswala ya kidini, alichofanya hapo ni kuwaheshimu wenzetu kwa kuwa pamoja nao kwa kila kitu. Sioni cha kushangaza hapo, kama atavaa hivyo halafu hachangii chochote basi atakuwa hana maana kabisa.



''He who knows he knows he knows not''
 
Miaka 50 ya uhuru bado wajinga wengi do! Kanzu ni vazi, sio utamaduni wa kidini Bali ni utamaduni wa jamii ya mashariki ya kati. Kama vile Masai na vazi Lao. Tusichanganye changanye mambo jamani . Watu wengine bongolala Sasa wanataka woote tuonekane Bongolala. Ndo walewale waliomtetea mkuu wa wilaya ati alivaa hijab.. Jamani tuwe wakweli pale alivaa hijabu kweli? Mtandio tunaupa Sunna kama hijab????. Yaani mambo ya ajabajab.. Aibu.. Yaani kuna watu wanaaibisha kweli Dini hii..
 
Jamani mbona naona kama mnataka kupotosha uvaaji wa Mh.

Mimi kwa upeo wangu najua kuwa mtu huvaa mavazi kulingana sehemu anayokwenda au occasion, sihdani kama mtu unaweza kuvaa suti ukaenda shambani kulima no! Ndo mana kuna mavavi ya aina tofauti.

Mh kuvaa kule ni sahihi kabisa, alienda msikitini alivaa kanzu mana wengi waislam wakienda msikitini huvaa kanzu ili afanane nao ilibidii avae kanzu, JE? angevaa kanzu akaingia bar hapo naona ingekuwa vibaya. Naona hata viongozi wetu wengi huwa hawazingatii dress code mwingine utakuta kashindilia suti nzito kukagua miradi ya kilimo hahahaaa nikichekesho.
Nimeipenda hiyo Mh, wafundishe na wengine wasiojua kuchagua vazi kutokana na shughuli.
 
Hata kambarage alifanya mbinu hizo alipopata wazifa waisilamu walikiona kilichomfanya kuku kunywa maji shingo juu hadi hii leo i ,kambarage alikuwa anavaa mpaka taribusshi na kanzu ili kuwafanyia hadaa waisilamu na kwa imani za wasilamu waliamini kuwa alikuwa mtu mwema kwao leo wanajionea wenyewe .
Aah mimi mindset inayopatikana md.ras.aa huwa siielewi sasa babylon brother anyway nakupa msaada wa kufikiri kwa niaba yako:

01)mbinu hizo-hapa unathibitisha kuwa kuwin waislamu au kundi lolote ni kutumia ujanja .

02)waisilamu wamekuwa mashakan- huu ni uthibitisho wa exaggeration hivi ukiwa huna nauli kwa daladala na mfano mkristo utapanda bure?kuna shule gani ya umma inayouliza dini ya mtu,rais wa nchi ni mkristo? Mashaka unayoyaita ya waislamu si yao ni ya
watu wa pwani na maeneo kama kigoma -ujiji,tabora ambako alikaa muarabu akawarithisha tamaduni ya kulalamikia na uvivu ,ndo maana makabila chapakazi kama wakinga ,nyakyusa,wachaga,wasukuma,wakulya kwa makadiliyo yasiyo rasmi waislamu ni 20% tuu lakini makabila kama wakwele ,wadigo,waha,wajiji,wagogo ,wamakonde 80% ni waislamu .

Mimi binafsi nimesoma islamic law nakiri uislamu ni dini yenye staha na heshima imekuwa sababu ya amani ya kaya nyingi,imeleta namna za kuboresha maisha (islamic banking) ,moyo wa kusaidia yatima e.t. c ila tatizo wanaoibeba msg hiyo ndo wana iwasilisha vibaya .

03)alikuwa mtu mwema v/s anavaa mpaka taribusshi na kanzu

aseeee hivi wana JF hayo mawili yana husiana



broo badilika
 
Wavaao kanzu wote ni waislamu?
Mtoa mada kajipange.
Mana mavazi aliyovaa ndo inshu.
hivi wewe ndo unasema au mimi nilisema unanihoji ,hebu tafuta kauli inayosema wavaao kanzu wote ni waislamu kwenye post yangu ,una umri gani? humu hairuhusiwi under 18 humu
 
Songíto;2976000 said:
jamani waislamu na shura ya maimamu mbona hamtoi tamko kuhusu hiyo kanzu ya mbowe? nilitarajia hili kwa kulidhalilisha vazi hilo

Kanzu ni vazi la kawaida na mtu yeyote anaweza kuvaa bila shida
 
Back
Top Bottom