Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siasa ni wizi mtupu. Si hasa bana we acha tu, sijui hapo alikuwa shehe.
hahaaa we kweli kilaza, ina maana uwezo wa kufikiri ndio umefikia mwisho? angalia hapo kwenye red
siasa ni wizi mtupu. Si hasa bana we acha tu, sijui hapo alikuwa shehe.
View attachment 43319View attachment 43320
source : Michuzi blog
hapa ni machame ,hai akichangisha watu wajenge msikiti ujulikanao kama rambo.
Siasa ni wizi mtupu. Si hasa bana we acha tu, sijui hapo alikuwa shehe.
Hata kambarage alifanya mbinu hizo alipopata wazifa waisilamu walikiona kilichomfanya kuku kunywa maji shingo juu hadi hii leo waisilamu wamekuwa mashakani ,kambarage alikuwa anavaa mpaka taribusshi na kanzu ili kuwafanyia hadaa waisilamu na kwa imani za wasilamu waliamini kuwa alikuwa mtu mwema kwao leo wanajionea wenyewe .
hata Nyerere alikuwa anavaa barghashia!Kuvaa kanzu si lazima uwe shekhe...ni vazi la heshima sana tu kwa wanaojiheshimu