Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 8,841
- 27,964
Bei sawa na bureeeeBei gani vile 😆😂🤣
Bei sawa na bureeeeBei gani vile 😆😂🤣
Basi tumekunywa sana aiseeMtu akikaribia kileleni mtoe kwenye mdomo wako. Utakunywa damu.
Ngoja niache ujuaji Kuna vingi sivijuiMtu akikaribia kileleni mtoe kwenye mdomo wako. Utakunywa damu.
SI ndo utaje😂🤣, Huku Kai na rice deal zime jipa 😆😂Bei sawa na bureeee
Jiandaeni kombe mchukue 2030+ mna project nzuriSI ndo utaje😂🤣, Huku Kai na rice deal zime jipa 😆😂
Ni swala la muda tu.Utafiti unaonesha, mtu akifika kileleni, mwili wake unapatwa na Msukumo mkubwa wa damu hivyo sehemu zenye michubuko zinaweza kutoa damu.
Mfano.. kama unapiga maswaki na kutokwa na damu kwenye fizi, hivyo hivyo Ukifika ama kufikishwa kileleni lazima utokwe na damu kwenye fizi. Na kidonda hasa kibichi lazima kitoe damu.
Tahadhari kwa wale watu wa kissing na romance.
Mtu akikaribia kileleni mtoe kwenye mdomo wako. Utakunywa damu.
Acha wehu😆😂, Leo suluhu ni big deal kwetu, next match city ana kufa.Jiandaeni kombe mchukue 2030+ mna project nzuri
Ingekua team nyingine ipo kileleni ningeogopa lkn Arsenal tu aaah! nakunywa mchuzi wa pweza taratibuAcha wehu😆😂, Leo suluhu ni big deal kwetu, next match city ana kufa.
Liver ana ukiwa na nyie manyumbu😆
Zile save za ramsdale Jana ni 🔥🔥🔥Ingekua team nyingine ipo kileleni ningeogopa lkn Arsenal tu aaah! nakunywa mchuzi wa pweza taratibu
Hata sikucheki gameZile save za ramsdale Jana ni 🔥🔥🔥
Basi subiri Leo😆😂, muda SI tayari🤣Hata sikucheki game
Mbn kama liver wamekua wa motoBasi subiri Leo😆😂, muda SI tayari🤣
Mbwembwe tu hizo😂🤣, 0-0Mbn kama liver wamekua wa moto
Acha watu wanywe damu🤣🤣🤣Mjep umesikia hii?
🤣🤣kwa kweli na hatuna msaada nao🤒Acha watu wanywe damu🤣🤣🤣