Ukifika kileleni mishipa ya damu yote inafunguka. Damu unaweza ikatokea kwenye fizi ama kwenye kidonda.

Utafiti unaonesha, mtu akifika kileleni, mwili wake unapatwa na Msukumo mkubwa wa damu hivyo sehemu zenye michubuko zinaweza kutoa damu.

Mfano.. kama unapiga maswaki na kutokwa na damu kwenye fizi, hivyo hivyo Ukifika ama kufikishwa kileleni lazima utokwe na damu kwenye fizi. Na kidonda hasa kibichi lazima kitoe damu.

Tahadhari kwa wale watu wa kissing na romance.

Mtu akikaribia kileleni mtoe kwenye mdomo wako. Utakunywa damu.
Ni swala la muda tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom