UKAWA kaeni chonjo hii kamata kamata ya TAKUKURU inakuja kuwabomoa!

Safi sana nilijua ni lazima Lowassa atajwe na waabudu mizimu. Hivi wewe na wenzako mje mtuambie Lowassa alipata faida kiasi gani kwa sakata la Richmond na ama alilipwa kiasi gani au washirika wake walilipwa kiasi gani? Halafu huu umajunun wa kuugeuzia ukweli mgongo mtaacha lini?

Mitambo ya Richmond iko Pale Ubungo inatumiwa na Symbion kuiuzia Tanesco umeme, sasa tatizo la Lowassa na Richmond ni nini? Kama uharamu ni mitambo mbona mnaitumia, kama tatizo ni Lowassa mbona hamsemi msimamo wa aliyekuwa bosi wake, yaani Kikwete ulikuwa nini? Hivi Richmond na Escrow-Tegeta, Aggreko na mauza uza mengine kipi hasa kina ushahidi ulio wazi?

Hao hao Stanbic waliikopesha serikali ilipe hela za Escrow na zile hela kuna ushahidi wa wazi kabisa kwamba ziliibwa kimfumo, leo kufikishwa kwa mkwe wa Lowassa imekuwa nongwa, kwamba hapo Lowassa anahusika. Mbona Mwanaisha alipofeli hamkusema kama baba yake anahusika?
Hakuna majibu bora kama haya. Lakini kwa vile wapo watu hawatumii akili zao Bali ushabiki wataendelea kuzoza.
Pale Morogoro Lissu alipotamka hadharani kuwa mwenye Richmond ni JK (na alisema hayo JK akiwa bado Rais) wenye akili tulijua mchezo umefika mwisho, kwamba kama Lissu anaropoka basi kwa vile serikali inaujua ukweli Lowasa amekwisha. Lakini kama Lissu alisemalo ni kweli basi yatakayofuata ni maigizo tuu.
Na kweli, JK akiwa Mwanza kufunga kampeni akajibu kwa utani jambo kubwa kama hilo eti Richmond ni ya huyo anayetembea na Lissu. Hapo kila mtu akaelewa kumbe ya Lissu yana ukweli
 
Sisi tunataka kujua waliobeba mihela kwenye masandalusi pale stanbic kwenye sakata la ESCROW Vinginevyo hizo zitakuwa sinema kama sinema zingine.
Btw wanataka kututoa kwenye issue ya MCC.
Ndiyo hao waliopandishwa kizimbani jana na wengine watafuata akiwemo Lowasa.
 
Safi sana nilijua ni lazima Lowassa atajwe na waabudu mizimu. Hivi wewe na wenzako mje mtuambie Lowassa alipata faida kiasi gani kwa sakata la Richmond na ama alilipwa kiasi gani au washirika wake walilipwa kiasi gani? Halafu huu umajunun wa kuugeuzia ukweli mgongo mtaacha lini?

Mitambo ya Richmond iko Pale Ubungo inatumiwa na Symbion kuiuzia Tanesco umeme, sasa tatizo la Lowassa na Richmond ni nini? Kama uharamu ni mitambo mbona mnaitumia, kama tatizo ni Lowassa mbona hamsemi msimamo wa aliyekuwa bosi wake, yaani Kikwete ulikuwa nini? Hivi Richmond na Escrow-Tegeta, Aggreko na mauza uza mengine kipi hasa kina ushahidi ulio wazi?

Hao hao Stanbic waliikopesha serikali ilipe hela za Escrow na zile hela kuna ushahidi wa wazi kabisa kwamba ziliibwa kimfumo, leo kufikishwa kwa mkwe wa Lowassa imekuwa nongwa, kwamba hapo Lowassa anahusika. Mbona Mwanaisha alipofeli hamkusema kama baba yake anahusika?
Subiri apandishwe kizimbani ili uje kumtetea.
Hapa janta tu.
 
Baada ya kukamatwa aliyekuwa kamishina wa kodi TRA bwana Kitilya na mkwe wa Lowassa aliyewahi kuhudumu benki ya Stanbic,nimegundua hii kamata kamata hawa wanatangulia mbele tu,kuna mtu anatafutwa.

Kwa jinsi hali ilivyo,na mkuu wa kaya alivyopata shida wakati wa kampeni,sina shaka kabisa kesi ya Richmond inaibuliwa na ikiibuliwa itakuwa na maana kubwa sana kwa serikali na CCM.

Kama itaibuliwa itakuwa na faida kubwa sana kwa watawala. Lakini faida kubwa zaidi ni pigo watakalopata upinzani kwa kukamatwa aliyetajwa kama mhusika mkuu wa sakata hilo ambae pia alikuwa mgombea Urais wa Upinzani kupitia UKAWA. Takukuru wanajaribu kutanguliza hawa ili watu wasije kuona cha ajabu kukamatwa kwa Lowassa.

Ule msisitizo wa kumuombea mkuu wa kaya ili atumbue majipu maombi hayo kwa kiasi kikubwa ni kukamatwa kwa mhusika mkuu wa Richmond. Huu siyo utabiri ni jambo linalochemka,nimeliweka mapema ili we mwanaJF uwe wa kwanza kujua. Endelea kubaki hapa hapa siku si nyingi utajua ukweli.

UKAWA jiandaeni kwa pigo hili takatifu na kwa bahati mbaya nyinyi mtakuwa sehemu ya mashahidi hasa machapisho ya nyuma ya mwanahalisi. Kati ya mkenge mlioingia CHADEMA,huu mzimu wa Lowassa ni kiboko...!!

Nawasilisha..
Utabiri wako utatuletea neema kama kweli yatatokea kwa sababu hata Escroll, meremeta, deepgreen na wengine wote itabidi wakamatwe. Hata hiyo richmond kama ikitokea wakamatwe ujue hata mzee wa msoga haitamwacha salama.
 
Baada ya kukamatwa aliyekuwa kamishina wa kodi TRA bwana Kitilya na mkwe wa Lowassa aliyewahi kuhudumu benki ya Stanbic,nimegundua hii kamata kamata hawa wanatangulia mbele tu,kuna mtu anatafutwa.

Kwa jinsi hali ilivyo,na mkuu wa kaya alivyopata shida wakati wa kampeni,sina shaka kabisa kesi ya Richmond inaibuliwa na ikiibuliwa itakuwa na maana kubwa sana kwa serikali na CCM.

Kama itaibuliwa itakuwa na faida kubwa sana kwa watawala. Lakini faida kubwa zaidi ni pigo watakalopata upinzani kwa kukamatwa aliyetajwa kama mhusika mkuu wa sakata hilo ambae pia alikuwa mgombea Urais wa Upinzani kupitia UKAWA. Takukuru wanajaribu kutanguliza hawa ili watu wasije kuona cha ajabu kukamatwa kwa Lowassa.

Ule msisitizo wa kumuombea mkuu wa kaya ili atumbue majipu maombi hayo kwa kiasi kikubwa ni kukamatwa kwa mhusika mkuu wa Richmond. Huu siyo utabiri ni jambo linalochemka,nimeliweka mapema ili we mwanaJF uwe wa kwanza kujua. Endelea kubaki hapa hapa siku si nyingi utajua ukweli.

UKAWA jiandaeni kwa pigo hili takatifu na kwa bahati mbaya nyinyi mtakuwa sehemu ya mashahidi hasa machapisho ya nyuma ya mwanahalisi. Kati ya mkenge mlioingia CHADEMA,huu mzimu wa Lowassa ni kiboko...!!

Nawasilisha..
Tuwaache takukuru watende kazi yao. Ila angalizo ninalowapa ni kutenda kazi kwa haki naomba nirudie tena maneno yangu tena. TAKUKURU naomba mtende kazi yenu kwa haki. Nikiwa na maana msemeno wenu ukate pande zote.
 
Teeeeeeeeh teeeeeeeeh teeeeeeeeeh, jamaa umeamua kuwavunja mbavu watanzania, yaani kikwete awe ban kimun?ndoto hii ni ya mwaka huu wa 2016
katka siasa lolote laweza tokea ww nyumbu, aliweza migiro kuwa naibu katbu mkuu wa UN kikwete atashindwaje kuwa katbu mkuu?, tena kwa taarifa yako katka diplomasia kwa afrika ukimtoa koffi annan na obasanjo, hakuna mwingine kama jk, ww kalia kusema ni ndoto kama ulivyokua unasema 'lowasa kuhamia CDM ni ndoto ya mchana' mwisho wa siku ikaja kuwa kwl. utapatwa na aibu!!!!!
 
Tundu Lisu alishasema kuwa mwenye Richmond ni aliyekuwa mpangaji wa ikulu. Na kama wataamua kumaliza utata wa suala la Richmond watakuwa wamelisaidia saana taifa letu. Kwa sababu moja ama nyingine richmond ilishindikana kwa kuwa na mahusiano na magogoni. Kama richmond ipo kwenye mpango wa kuchambuliwa ni vema na haki.
 
Hakuna majibu bora kama haya. Lakini kwa vile wapo watu hawatumii akili zao Bali ushabiki wataendelea kuzoza.
Pale Morogoro Lissu alipotamka hadharani kuwa mwenye Richmond ni JK (na alisema hayo JK akiwa bado Rais) wenye akili tulijua mchezo umefika mwisho, kwamba kama Lissu anaropoka basi kwa vile serikali inaujua ukweli Lowasa amekwisha. Lakini kama Lissu alisemalo ni kweli basi yatakayofuata ni maigizo tuu.
Na kweli, JK akiwa Mwanza kufunga kampeni akajibu kwa utani jambo kubwa kama hilo eti Richmond ni ya huyo anayetembea na Lissu. Hapo kila mtu akaelewa kumbe ya Lissu yana ukweli
Mkuu Chakaza pamoja na maelezo yako hayo mazuri,unadhani km akifikishwa mahakamani lowassa,wananchi watajenga picha gani kwa chadema!!? Serikali iliyopo inafanyakazi kwa mihemko na wananchi wanavutiwa,kitendo hicho kikifanyika cha kumshitaki lowassa,bila kujali atashinda au la! Lkn ukweli ni kitendo cha kuiua chadema,kitendo cha kutembea chadema nchi nzima tukiwaambia watu lowassa ni fisadi halafu tukazunguka tena nchi nzima kumsafisha kimetudhoofisha sana chadema km taasisi..!!
 
Bahati mbaya sikuwahi kula hata senti tano kwa issue hizi! Huwa nafanya tu kwa mapenzi yangu binafsi! Nina shuguli zangu za kuniingizia kipato, wala sitegemei kuwapigia debe wanasiasa ili kuishi!
Ila Nasimamia penye ukweli! Naamini LOWASSA anafaa! Naamini CHADEMA ni chama bora zaidi cha siasa kwa sasa hapa TANZANIA!
kwl siasa mchezo mchafu!!!!, yaan ww MUSSA ALLAN leo hii wakusimama na kuipgia chapuo CDM kisa lowasa??
 
Mtahangaika sana. Ukweli unajulikana kuwa Mhe Lowassa akitoa ushauri na ukakataliwa na kama mnaamini ana kesi mpelekeni Mahakamani mtaona kilichomtoa Kenge Manyoya
 
Leo idadi ya wabunge waliofikishwa mahakamani kwa tuhuma za rushwa imefikia 4 na jumatatu kuna uwezekano wakaongezeka 2
Mkwe wake Lowassa nae na mrija wake wa TRA zamani nao walifikishwa mahakamani.....usisahau.
 
Back
Top Bottom