Wakazi wa Muganza, Chato tunaomba TAKUKURU imchunguze Hakimu Mfawadhi Makama ya Wilaya Chato

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Jul 21, 2021
1,126
4,169
Amekuwa akishirikiana na waendesha mashitaka wa TANAPA kubambikizia kesi watu wasiokuwa na hatia kisha kuomba rushwa kubwa.

Watu wanabambikiziwa kesi kuwa ni wahujumu uchumi kwa kufanya uvuvi haramu kisiwa cha Rubondo na kisha kuombwa rushwa. Malalamiko yapo ofisi za PCCB wilaya ya Chato lakini hakuna hatua zilizochukuliwa.

Anashirikiana na wavuvi wakubwa na kuwapa upendeleo hata kama wakivua na kukamatwa ndani ya hifadhi ya Rubondo. Wavuvi hawa ni ndugu na wanajulikana.

Wakazi wa Muganza wanabambikiwa kesi huku huyu hakimu akiwakandamiza kwa rushwa kubwa. Mpaka sasa kuna wakazi wa Muganza kama 30 wanakesi za uhujumu uchumi ambazo ni za kubambikiwa.

Takukuru wilaya ya Chato hawajachukua hatua yoyote. Hivyo Mkurugenzi unaombwa utusaidie maana kuna uonevu mkubwa.
 
Kwa Tanzania ilipofika ni ngumu sana hao wavuvi kupata msaada Takukuru. Msaada pekee kwa sasa ni pesa na wao wahonge kujitoa matatizoni au kuwa na connection kwenye uongozi wa juu wa Serikali au Chama cha Mapinduzi.

Vinginevyo kubambikiwa kesi hakuta isha maana hiyo ni chain huko ..kuanzia juu mpaka chini.
 
Amekuwa akishirikiana na
waendesha mashitaka wa TANAPA kubambikizia kesi watu wasiokuwa na hatia kisha kuomba rushwa kubwa .

Watu wanabambikiziwa kesi kuwa ni wahujumu uchumi kwa kufanya uvuvi haramu kisiwa cha Rubondo na kisha kuombwa rushwa . Malalamiko yapo ofisi za Pccb wilaya ya Chato lakini hakuna hatua zilizochukuliwa.

Anashirikiana na wavuvi wakivua na kukamatwa ndani ya hifadhi ya R
 
Amekuwa akishirikiana na waendesha mashitaka wa TANAPA kubambikizia kesi watu wasiokuwa na hatia kisha kuomba rushwa kubwa.

Watu wanabambikiziwa kesi kuwa ni wahujumu uchumi kwa kufanya uvuvi haramu kisiwa cha Rubondo na kisha kuombwa rushwa. Malalamiko yapo ofisi za PCCB wilaya ya Chato lakini hakuna hatua zilizochukuliwa.

Anashirikiana na wavuvi wakubwa na kuwapa upendeleo hata kama wakivua na kukamatwa ndani ya hifadhi ya Rubondo. Wavuvi hawa ni ndugu na wanajulikana.

Wakazi wa Muganza wanabambikiwa kesi huku huyu hakimu akiwakandamiza kwa rushwa kubwa. Mpaka sasa kuna wakazi wa Muganza kama 30 wanakesi za uhujumu uchumi ambazo ni za kubambikiwa.

Takukuru wilaya ya Chato hawajachukua hatua yoyote. Hivyo Mkurugenzi unaombwa utusaidie maana kuna uonevu mkubwa.
Mkuu haariza Muganza
1. Kama wewe n miononi mwa hao wavuvi 30 tayari umeharibu mtego kwa kulaamika itandaoni badala ya kuchukua hatua stahiki
2. Hakimu hwez kushirikiana na mwendsha mashitaka kukubambika kesi la ana mwanya wa kucheza na furasa y mwaya wakiufundi kutafisiri sheria inayokukandamiza bila yeye kuhusishwa moja kwa oja. Kumbuka kutasiri sheria dhdi ya kosa haiongozwi na hisia ni sharti kanun, taratibu a miongozo iliyopo ifuatwe kufikia uamuzi
3. Mkurugenzi yupi unayemtaaifu aingiie kati adai ya kubambikiwa kesi?DED au TAKUKURU?
4. Madai yako yanatakiwa kuwa na ushahidi mbivu mkononi kamba ukihitajkaunatoa mara moja kuthibitisha ili hatua stahiki zichukuliewe tofauti na hapo ni majungu
5. Ni ukwei usiopingika kaba Muganza ni soko kubwa la bidhaa za samaki na dagaa ambao nchi jirani ya Kongo hufuata kununua kiendo kinachochochea wavuvi wengi kujitahidi kukusanya kadri wawezavyo hivyo uwezekano wa kufanya vyovote ii mradi apate mzigo wa kutosha ili kujipatia kiato kikubwa upo
 
Shwaini mkubwa
 
We jamaa bwana 😂😂😂 nini hicho ulichokiandika ,bila shaka hata wewe mwenyewe ukiambiwa urudie kusoma ulicho andika huwezi
 
Hio ni kesi ya uhujumu uchumi kuvua maeneo ya hifadhi. Kama hauna pesa ya rushwa acheni kuvua maeneo hayo.
 
Kwamba huyo Hakimu Mfawidhi ndiye NPS, anafungua mashauri ya jinai halafu yeye tena anakuwa Hakimu na kuyasikiliza. Hata kama mnataka kumharibia mtu, tafuteni namna nzuri basi!
 
Back
Top Bottom