UKAWA kaeni chonjo hii kamata kamata ya TAKUKURU inakuja kuwabomoa!

Najua umekurupuka ungetulia usingeanzisha hiii, ili ufikie Richmond hapo njuma kuna makorokocho mangapi? siku ya kuguswa Lowasa ndo mwisho wa Amani ya nchii, lowasa anayajua mengi kushinda hata maguruli mwenyewe kumbuka yeye ni mastermind wa mambo mengi sana nchii siku akaumua kuongea itakuwa shidha hakuna hatakayebaki salama, si mwinyi, mkapa, jk, hata magufuri mwenyewe trust me
Mkuu unatisha sana kwa kutema nondo,salute sana
 
Lowasa hawezi kuguswa,ukumbuke lowasa alikuwa na rafiki yake kikwete ,itabidi kumwaga mboga na ugali kwa kila mmoja.jiulize ya Goldenberg na Anglobleasing huko Kenya nani aliwahi kukamatwa? Hivi Escrow nayo vipi,Deep green,meremeta nk
 
Sisi tunataka kujua waliobeba mihela kwenye masandalusi pale stanbic kwenye sakata la ESCROW Vinginevyo hizo zitakuwa sinema kama sinema zingine.
Btw wanataka kututoa kwenye issue ya MCC.
Nyie kina nani watu wa kaskazini? Kwa hiyo ili la ufisadi wa dola milioni 6 hamtaki kulijua?
Kamanda hii issue ya ufisadi tuwalaumu Waingereza wao ndiyo wametutonya wala hawajui kama Sioi ni mkwe wa rais wetu wa moyoni.

Waingereza wabaya sana kamanda.
 
Siasa hizi leo hii UKAWA wapo sambamba na mafisadi kisa mtuhumiwa mmoja mkwe wa Lowassa daah!

Ehee Mungu ninisuru nisiwe nyumbu.
 
Siku Lowasa akipelekwa mahakamani kama itatokea nuitawaalika kwa mama nitilie mpate supu ya utumbo na konyagi mwitu kwa sherehe. Ameharibu chadema niliyoipenda na kuifanya kahaba
 
Nyie kina nani watu wa kaskazini? Kwa hiyo ili la ufisadi wa dola milioni 6 hamtaki kulijua?
Kamanda hii issue ya ufisadi tuwalaumu Waingereza wao ndiyo wametutonya wala hawajui kama Sioi ni mkwe wa rais wetu wa moyoni.

Waingereza wabaya sana kamanda.
Mimi ni wa kaskazini? Mkurya na ukaskazini wapi na wapi?
 
Baada ya kukamatwa aliyekuwa kamishina wa kodi TRA bwana Kitilya na mkwe wa Lowassa aliyewahi kuhudumu benki ya Stanbic,nimegundua hii kamata kamata hawa wanatangulia mbele tu,kuna mtu anatafutwa.

Kwa jinsi hali ilivyo,na mkuu wa kaya alivyopata shida wakati wa kampeni,sina shaka kabisa kesi ya Richmond inaibuliwa na ikiibuliwa itakuwa na maana kubwa sana kwa serikali na CCM.

Kama itaibuliwa itakuwa na faida kubwa sana kwa watawala. Lakini faida kubwa zaidi ni pigo watakalopata upinzani kwa kukamatwa aliyetajwa kama mhusika mkuu wa sakata hilo ambae pia alikuwa mgombea Urais wa Upinzani kupitia UKAWA. Takukuru wanajaribu kutanguliza hawa ili watu wasije kuona cha ajabu kukamatwa kwa Lowassa.

Ule msisitizo wa kumuombea mkuu wa kaya ili atumbue majipu maombi hayo kwa kiasi kikubwa ni kukamatwa kwa mhusika mkuu wa Richmond. Huu siyo utabiri ni jambo linalochemka,nimeliweka mapema ili we mwanaJF uwe wa kwanza kujua. Endelea kubaki hapa hapa siku si nyingi utajua ukweli.

UKAWA jiandaeni kwa pigo hili takatifu na kwa bahati mbaya nyinyi mtakuwa sehemu ya mashahidi hasa machapisho ya nyuma ya mwanahalisi. Kati ya mkenge mlioingia CHADEMA,huu mzimu wa Lowassa ni kiboko...!!

Nawasilisha..
Kama ni Richmond mhusika ni Kikwete. Lowassa alitolewa tu Kama mbuzi wa kafara.
 
Nimeufufua huu uzi kuwakumbusha UKAWA. Huu ni uzi wa tarehe 01april.2016. Niliwatahadhalisha UKAWA mapema kabisaa!!!
 
Nkumbuka
Nimeufufua huu uzi kuwakumbusha UKAWA. Huu ni uzi wa tarehe ,,,,,,Nakukumbusha Tu Dr Mwakyesumu wakati anawasilisha report alisema kuna baadhi mambo waliayaacha kuilinda serikali. get it kwenye mind yako ni mambo gani na je Richmond ikufufluliwa............... Still mitambo hiyo hiyo alikuja kuzinduliwa Bwana Baraka Ngoma ngumu sana............
 
Safi sana nilijua ni lazima Lowassa atajwe na waabudu mizimu. Hivi wewe na wenzako mje mtuambie Lowassa alipata faida kiasi gani kwa sakata la Richmond na ama alilipwa kiasi gani au washirika wake walilipwa kiasi gani? Halafu huu umajunun wa kuugeuzia ukweli mgongo mtaacha lini?

Mitambo ya Richmond iko Pale Ubungo inatumiwa na Symbion kuiuzia Tanesco umeme, sasa tatizo la Lowassa na Richmond ni nini? Kama uharamu ni mitambo mbona mnaitumia, kama tatizo ni Lowassa mbona hamsemi msimamo wa aliyekuwa bosi wake, yaani Kikwete ulikuwa nini? Hivi Richmond na Escrow-Tegeta, Aggreko na mauza uza mengine kipi hasa kina ushahidi ulio wazi?

Hao hao Stanbic waliikopesha serikali ilipe hela za Escrow na zile hela kuna ushahidi wa wazi kabisa kwamba ziliibwa kimfumo, leo kufikishwa kwa mkwe wa Lowassa imekuwa nongwa, kwamba hapo Lowassa anahusika. Mbona Mwanaisha alipofeli hamkusema kama baba yake anahusika?
Subiri don't rush una haraka Ya wapi Time Will tell vuta subira
 
Baada ya kukamatwa aliyekuwa kamishina wa kodi TRA bwana Kitilya na mkwe wa Lowassa aliyewahi kuhudumu benki ya Stanbic,nimegundua hii kamata kamata hawa wanatangulia mbele tu,kuna mtu anatafutwa.

Kwa jinsi hali ilivyo,na mkuu wa kaya alivyopata shida wakati wa kampeni,sina shaka kabisa kesi ya Richmond inaibuliwa na ikiibuliwa itakuwa na maana kubwa sana kwa serikali na CCM.

Kama itaibuliwa itakuwa na faida kubwa sana kwa watawala. Lakini faida kubwa zaidi ni pigo watakalopata upinzani kwa kukamatwa aliyetajwa kama mhusika mkuu wa sakata hilo ambae pia alikuwa mgombea Urais wa Upinzani kupitia UKAWA. Takukuru wanajaribu kutanguliza hawa ili watu wasije kuona cha ajabu kukamatwa kwa Lowassa.

Ule msisitizo wa kumuombea mkuu wa kaya ili atumbue majipu maombi hayo kwa kiasi kikubwa ni kukamatwa kwa mhusika mkuu wa Richmond. Huu siyo utabiri ni jambo linalochemka,nimeliweka mapema ili we mwanaJF uwe wa kwanza kujua. Endelea kubaki hapa hapa siku si nyingi utajua ukweli.

UKAWA jiandaeni kwa pigo hili takatifu na kwa bahati mbaya nyinyi mtakuwa sehemu ya mashahidi hasa machapisho ya nyuma ya mwanahalisi. Kati ya mkenge mlioingia CHADEMA,huu mzimu wa Lowassa ni kiboko...!!

Nawasilisha..
Sawa. Lakini kabla ya Richmond, nina imani suala la IPTL litashughulikiwa kwanza liwe concluded. Ukiacha fedha hizo za kina Rugemarila, najua zipo pia za huko Stanbic wahusika wake hawajawahi kutajwa...
 
Lowassa hawezi kuwa muhusika wa Richmond. Kawadanganyeni wajinga. Nchi hii haijawahi kuwa na Waziri mkuu mwenye mamlaka makubwa kiasi hicho... Only fools can believe and buy this rubbish.
 
Kwakweli mkuu uliona mbali aseee
Ndiyo hivyo mkuu,purukushani zote unazoziona mlengwa na Lowassa. Watu wote watakuwa wamefumbwa macho na kamatakamata ya wengine na ukilinganisha na kashifa za huyu mzee za tangu zamani,hakuna atakayeng'amua kama ni mchezo wa kuua upinzani. Lkn yote yanamwisho!
 
Back
Top Bottom