Fortilo
JF-Expert Member
- Apr 10, 2012
- 4,722
- 14,248
Wakuu Salam,
Hakuna kipindi kigumu serikali ya awamu ya Sita inapitia kama hili la kuitwa wezi na wabadhirifu.
Hizi shutuma ni kubwa na kama sio kumbeba Magufuli kimzobe mzobe 2015 almanusura CCM iteme bungo.
Sasa ivi shutuma ni nyingi na " wanafiki" wame mute na wamegeuka " chawa" ili wamuharibie Bi Mkubwa.
Wapo waliojitolea kuzijibu kwa kukamata wanaosema, lakini tayar damage ilishafanyika.
Kuna Kipindi Rais mstaafu Kikwete ilibidi awatoe Kafara Mawaziri wake wote na waziri mkuu wake Lowassa 2008 ili kujaribu kujisafisha na uchaguzi wa 2010.
Sasaivi shutuma zote zinapigwa pin, na rumors zinapepea zaidi kuliko ukweli.
Shutuma za Rushwa na ubadhirifu ni mbaya sana na zinaangusha serikali.
Kuna zilizoibuliwa na Mbunge Tabasam bungeni kwa tenda za EWURA, spika Tulia akalizima kimya kimya.
Kuna za DP world, kimyaa.
Kuna za Malipo ya Bil 21, na mtiririko wa Ankara za malipo kwa watu wengi wengi.. kimyaa.
Kuna hili la mkwamo wa upatikanaji umeme, kimyaa.
Kuna nini kwenye hii kamata kamata na kuzima kimya kimya mambo haya.
Kwanini shutuma za ufisadi awamu ya Sita hazijibiw?