Mfanyabiashara maarufu wa vituo vya mafuta Arusha adakwa na Takukuru akijifanya ofisa misitu na kupokea rushwa

Jembe Jembe

JF-Expert Member
Jun 9, 2016
749
1,797
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Takukuru Mkoa wa Arusha imemkamata mfanyabiashara maarufu anayemiliki vituo vya mafuta jiji la Arusha, Maganga Baha lago akituhumiwa kujifanya afisa Misitu na kuomba rushwa ya shilingi 100,000.

f9f33186-580c-4b62-a733-38e088f9c2e8.jpg
Kamanda wa Takukuru Mkoa, Zawadi Ngajilo amethibitisha kukamatwa kwa mtuhumiwa huyo na kudai kwamba uchunguzi wa tukio unaendelea kwa ajili ya kufikishwa mahakamani.

"Ni kweli huyo mfanyabiashara amekamatwa na sasa tupo kwenye hatua ya uchunguzi na tukikamilisha tutawapatia taarifa za tukio hilo"

Taarifa zimedai kwamba mtuhumiwa alikamatwa katika kituo chake cha Mafuta kilichopo eneo la Morombo baada ya kuwekewa mtego na kukutwa na kiasi hicho cha fedha kutoka kwa mmoja ya watu wanaojihusisha na biashara haramu ya kusafirisha mkaa bila kufuata sheria kutoka wilaya ya Simanjiro Mkoani Manyara na kuleta jijini Arusha.

Imeelezwa kwamba Maganga akishirikiana na wenzake anatuhumiwa kuwatisha watu wanaoendesha biashara hiyo ya zao la misitu kwa kuwaambia kuwa yeye ni afisa misitu na baadaye akiwa na wenzake hukamata mali zao na kuwapeleka kwenye kituo chake cha mafuta ambako kuna eneo la maficho na kuomba rushwa ili wasiwapeleke kwenye vyombo vya sheria wakiwatisha kuwafungulia kesi ya uhujumu uchumi.

Hata hivyo mmoja ya maofisa wa Takukuru aliyehusika kumkamata mtuhumiwa huyo(jina linahifadhiwa) , alidai kwamba mtuhumiwa aliwaambia ametumwa na mkuu wa wilaya ya Arusha, Jambo ambalo DC alipoulizwa aliruka futi 100 na kuiagiza takukuru ichukue hatua zote za kisheria dhidi yake.

"Mimi ndio nimeagiza wamshikilie na akae lokapu na taratibu zote za kisheria zifuatwe ,siko hapa kushirikiana na mhalifu uoyote" alisema DC Ofisini kwake

Akiongelea tuhuma hizo baada ya kuachiwa kwa dhamana Maganga alikiri kukamatwa na takukuru na kuwekwa mahabusu ila alisema sio yeye aliyehusika na mpango huo na kudai alikuwa akimsaidia kumwomba mhusika aliyekamatwa apunguziwe bei badala ya kulipa sh, laki nne alipe sh, laki moja ambayo ndio walikubaliana.

Mfanyabiashara hiyo mbabe jijini Arusha pia amekuwa akituhumiwa kwa unyanyasaji wa wafanyakazi wake akiwemo mke wake wa kwanz anayedaiwa kumwagiza dereva wake ampakie kwenye moja ya magari yake kwenda kumtelekeza sehemu isiyo na huduma na kuokoleqa na wapita njia

Sent from my SM-A127F using JamiiForums mobile app
 
Aliimba Profesa Jay...
Aliyeuziwa Cheni Bandia katoa pesa bandia.

Lago anapata pesa kwa wauza mkaa ya magendo 😂😂
 
Mfanyabiashara hiyo mbabe jijini Arusha pia amekuwa akituhumiwa kwa unyanyasaji wa wafanyakazi wake akiwemo mke wake wa kwanz anayedaiwa kumwagiza dereva wake ampakie kwenye moja ya magari yake kwenda kumtelekeza sehemu isiyo na huduma na kuokoleqa na wapita njia

Sent from my SM-A127F using JamiiForums mobile app
Mmezunguka sana ila sababu kuu ipo kwenye paragraph ya mwisho. Milionea Maganga kufanya kazi ya kukamata wauza mkaa imeanza lini? Ninamshauri amalize tofauti zake na mkewe.
 
Habari hii mwishoni imekaa kimbea mbea anyway kwahiyo ni mfanyabiashara maarufu na kadakwa akila rushwa ya laki.Huo umaarufu aliupataje?
 
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Takukuru Mkoa wa Arusha imemkamata mfanyabiashara maarufu anayemiliki vituo vya mafuta jiji la Arusha, Maganga Baha lago akituhumiwa kujifanya afisa Misitu na kuomba rushwa ya shilingi 100,000.

Yaani mmliki wa vituo vya kujazia mafuta, kaomba rushwa ya laki 1 😁

Mbona kama kuna mtu katengenezewa zengwe hapa...
 
....Mfanyabiashara hiyo mbabe jijini Arusha pia amekuwa akituhumiwa kwa unyanyasaji wa wafanyakazi wake akiwemo mke wake wa kwanz anayedaiwa kumwagiza dereva wake ampakie kwenye moja ya magari yake kwenda kumtelekeza sehemu isiyo na huduma na kuokoleqa na wapita njia
Sent from my SM-A127F using JamiiForums mobile app
Yaani hapa naiona kesi ya pili ambayo kwa vyovyote aliilipia ushuru polisi isiende mahakamani
 
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Takukuru Mkoa wa Arusha imemkamata mfanyabiashara maarufu anayemiliki vituo vya mafuta jiji la Arusha, Maganga Baha lago akituhumiwa kujifanya afisa Misitu na kuomba rushwa ya shilingi 100,000.

Kamanda wa Takukuru Mkoa, Zawadi Ngajilo amethibitisha kukamatwa kwa mtuhumiwa huyo na kudai kwamba uchunguzi wa tukio unaendelea kwa ajili ya kufikishwa mahakamani.

"Ni kweli huyo mfanyabiashara amekamatwa na sasa tupo kwenye hatua ya uchunguzi na tukikamilisha tutawapatia taarifa za tukio hilo"

Taarifa zimedai kwamba mtuhumiwa alikamatwa katika kituo chake cha Mafuta kilichopo eneo la Morombo baada ya kuwekewa mtego na kukutwa na kiasi hicho cha fedha kutoka kwa mmoja ya watu wanaojihusisha na biashara haramu ya kusafirisha mkaa bila kufuata sheria kutoka wilaya ya Simanjiro Mkoani Manyara na kuleta jijini Arusha.

Imeelezwa kwamba Maganga akishirikiana na wenzake anatuhumiwa kuwatisha watu wanaoendesha biashara hiyo ya zao la misitu kwa kuwaambia kuwa yeye ni afisa misitu na baadaye akiwa na wenzake hukamata mali zao na kuwapeleka kwenye kituo chake cha mafuta ambako kuna eneo la maficho na kuomba rushwa ili wasiwapeleke kwenye vyombo vya sheria wakiwatisha kuwafungulia kesi ya uhujumu uchumi.

Hata hivyo mmoja ya maofisa wa Takukuru aliyehusika kumkamata mtuhumiwa huyo(jina linahifadhiwa) , alidai kwamba mtuhumiwa aliwaambia ametumwa na mkuu wa wilaya ya Arusha, Jambo ambalo DC alipoulizwa aliruka futi 100 na kuiagiza takukuru ichukue hatua zote za kisheria dhidi yake.

"Mimi ndio nimeagiza wamshikilie na akae lokapu na taratibu zote za kisheria zifuatwe ,siko hapa kushirikiana na mhalifu uoyote" alisema DC Ofisini kwake

Akiongelea tuhuma hizo baada ya kuachiwa kwa dhamana Maganga alikiri kukamatwa na takukuru na kuwekwa mahabusu ila alisema sio yeye aliyehusika na mpango huo na kudai alikuwa akimsaidia kumwomba mhusika aliyekamatwa apunguziwe bei badala ya kulipa sh, laki nne alipe sh, laki moja ambayo ndio walikubaliana.

Mfanyabiashara hiyo mbabe jijini Arusha pia amekuwa akituhumiwa kwa unyanyasaji wa wafanyakazi wake akiwemo mke wake wa kwanz anayedaiwa kumwagiza dereva wake ampakie kwenye moja ya magari yake kwenda kumtelekeza sehemu isiyo na huduma na kuokoleqa na wapita njia

Sent from my SM-A127F using JamiiForums mobile app
Chai hii
 
Duh aiseee
Duhh....nakazia haha

Mfanyabiashara nguli wa mafuta pesa ipo unaenda pigania 100,000
Ttz arusha makanjakanja wengi hawana cha utajiri kihivyooo kama watu wanavyodhania

Ova
 
Maganga kweli ni tajiri tena mkongwe. Sema ana upumbavu kama wa tajiri mwingine wa zamani anaitwa Tango Verani. Wana viburi vya kishenzi. Tango alibanwa na serikali na kutaifishwa baadhi ya vitu enzi za mwalimu. Hadi leo serikali inamlipa fidia
 
Maugomvi na mkewe bana .....wamemtega kumkomoa
 
Mmiliki wa vituo vya mafuta halafu unapokea rushwa ya 100k.?

Duh sitaki kuamini
Usipoamini utakuwa na matatizo binafsi!

Kwani mhalifu hupimwa kwa title yake?

Mimi nimewahi shuhudia tajiri mwenye ukwasi mkubwa akiuawa kwenye tukio la ujambazi wa kutumia silaha.

Yaweza ikawa siyo dhiki ya pesa isipokuwa furaha yake ni kuona wenzake (wahanga) anapowakamata namna ambavyo wanapanick huku wakimtetemekea kinyonge sana hadi magoti huku akiwakamua na pesa anavyotaka.

Halafu anapoenda bar, anaenda kuunguza pesa ya wajinga na heshima yake ya utajiri inazidi kuongezeka bila hasara ya kutumia hela yake.

Sasa unashangaa kutapeli laki wakati mwenzako alishageuza kuwa huo ni mradi wake wa kila siku wa kumuingizia kipato.

Ni ngapi alizokwishadhulumu kabla ya 'siku za mwizi?
 
Mmiliki wa kituo cha mafuta amkamate mtu, akamfiche adai laki, I don’t buy it.
 
Back
Top Bottom