Ukata wa Fedha na Migogoro ndani ya CHADEMA waiondoa majukwaani na kuiweka mfukoni mwa Mbowe

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Jul 28, 2022
15,305
9,734
Ndugu zangu Watanzani,

Wanasema chama cha siasa kilicho hai na uhai ni lazima kiwe mabarabarani na majukwaani. ni lazima kiwe midomoni mwa watu muda wote,ni lazima kitetewe vijiweni,magengeni,masokoni, viwanjani na sehemu yoyote yenye shamrashamra za watu.ni lazima kiwe kwenye ndoto za watu ,kwamba mtu akilala usingizi anajikuta anakiota chama husika na harakati zake huku yeye akiwa msitari wa mbele kukitetea ,kukipigania na kukisemea wakati wote kinaposemwa vibaya.

Ili chama kifikie hatua hiyo na kuwa na uwezo huo wa kuteka mioyo ya watu na kuwa midomoni mwao ni lazima kiwe kinaaminika mbele za watu ,kiwe na viongozi wenye Taswira na tabia nzuri katika macho ya jamii,ni lazima kiwe na safu ya uongozi madhubuti, imara, shupavu,yenye umoja , mshikamano, kauli moja na wenye msimamo wa pamoja usiyo yumba wala kuyumbishwa.ni lazima kiwe na Dira,muelekeo na shabaha maalumu.

Kufanikisha haya ni lazima viongozi husika wakubali kuumia, kujinyima,kujitoa na kujitolea ,kuteseka,kupoteza baadhi ya vitu au uhuru wao au marafiki zao au mali zao pamoja na maslahi yao binafsi ili kukifikisha chama katika kilele cha upendo wa mioyo ya watu. ni lazima wakiweke chama na maslahi yake mbele kuliko matumbo yao binafsi na maslahi yao.

CHADEMA kwa sasa imekosa vitu na mambo yote hayo niliyoyaeleza hapo juu,haina mshikamano wala muunganiko miongoni mwa viongozi wake,kila mtu anapigania tumbo lake ,kila mtu anaangalia upepo unavuma je,hayupo ambaye yupo tayari kupoteza kwa ajili ya chama,hayupo ambaye yupo tayari kuona kila senti inayopatikana inakwenda kukinufaisha chama moja kwa moja pasipo kumega kidogo.

Sasa CHADEMA imeshuka majukwaani na kupotea katika harakati za kuimarisha chama na kuwafikia wafuasi wake.hii ni baada ya kukumbwa na ukata mkubwa sana wa pesa pamoja na kutokuwepo kwa maelewano mazuri baina ya viongozi wa ngazi za juu hasa mwenyekiti na makamu wake ambao matokeo yake yamewagawa hadi wafuasi wake ,ambapo wapo walio upande wa mwenyekiti na wengine kwa makamu.

Huku chanzo kikubwa kikielezwa kuwa ni kutofautiana kwa misimamo na mitizamo juu ya masuala mbalimbali yanayopelekea kutuhumiana sana. Sasa CHADEMA imepotea katika vinywa na midomo ya watanzania,haipo barabarani wala mitaani wala masokoni wala akilini mwa watanzania.

Chama hakina pesa na hakielewi kipate wapi pesa.kurudi kwa wanachama kuomba misaada na michango hakiwezi kwa kuwa wanachadema wameshagoma kusikia habari za michango na badala yake wanataka ukaguzi maalumu wa fedha na mali zote za chama hicho.wanataka pesa za join the chain ielezwe zipo wapi? Zilikusanywa na kupatikana shilingi ngapi? Zimefanya kazi ipi na kwa utaratibu upi?

Sasa viongozi maji ya shingo wanaanza kuitana nyumbani kwa mwenyekiti kujaribu kuzimazima moto pasipo majibu ya msingi. Jambo ambalo linaendelea kukuza migogoro zaidi ,kwa kuwa viongozi wengine wanaanza kujiuliza mbona sisi hatujaitwa? Kwahiyo walioitwa ndio wenye thamani ndani ya chama? Ndio wenye umuhimu? Ndio wenye nguvu? Ndio sauti ya chama? Kwanini mwenyekiti anahamishia ofisi nyumbani kwake? Kwanini wasikutanie ofisini? Kwanini visiitwe vikao rasmi vya chama kuliko kuitana kwa kubaguana na kuangaliana sura?

Kwa hiyo kwa sasa inaonekana chama kimetupiwa mfukoni mwa Mbowe,yeye ndiye amebaki anatembea nacho popote aendapo na ndio maana anageuza makazi yake kuwa ofisi za chama na kuamua amwite nani na nani waende kwake na wajadili nini na wale nini na kiasi gani. Kwa hiyo ukiwa kwake hutakiwi kuanza kuleta ubishi ubishi na vurugu zako kwenye masofa yake aliyoyanunua kwa hela zake.unatakiwa kuwamtulivu na kukubali kila kitu kama kasuku na kuunga mkono kila mkakati.

Chama kimetekwa mateka na kimegota kifikira na kumtegemea mwenye kigoda tu. Tuendelee kuangalia kinachoendelea hapo ufipa na kuwaombea wenzetu ambao walishachukuliwa kama wajinga kwa kubadilishiwa gia hata mahali pasipo stahili kubadilisha gia.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
 
Mkuu unateseka sana kuandika makala ndefu kiasi hiki utadhani Biblia halafu habari zenyewe za uongo una ujinga wa kiwango cha juu sana
Punguza Uchawa usio na faida kwako
Wenzako uchawa wao unawapa Teuzi wewe pamoja na kuweka namba ya simu bado unapishana na Teuzi.

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
Hoja hupingwa kwa hoja na siyo viroja au hasira au matusi.unatakiwa uthibitishe uongo wangu upo wapi?
 
PXL_20231116_173401708.MP.jpg
 
Unaeza sema, pichani, Mwenyekiti anasema
'ikipata mafuta hii, mtakoma'

fb_img_1684849274867-jpg.2632462

...na wwngine hapa chini wakisema
'Hekalu hili, mpaka
tumekosa mafuta!'

mbowe-jpeg.2812967

..leo ni siku ya kuvumiliana 😂 😂 😂 😂 😂 😂
 
Hii ni aibu kubwa kwa chama cha Mbowe. Ila mimi naona shwari tu ili mradi mmiliki wa chama anaendelea kuingiza pesa. Kuwaendekeza nyumbu itamgharimu Mbowe. Ni bora aendeleze udikteta ili kunusuru biashara yake ya urithi
Ndio maana ameamua akiweke chama chake mfukoni kabisa ili kuepuka usumbufu .
 
Ila Mbowe akiweza kuepuka tamaa ya pesa ni kiongozi mzuri na mwema sana. Mbowe ndo aliwashika mkono kina Mdee, Zitto, Mnyika, Lema na wengine wengi. Tatizo lilianza baada ya chama kuwa kikubwa na kuanza kupokea ruzuku nyingi. Kwa haraka akabadili katiba na kuwa mwenyekiti wa kudumu.
 
Na ndio yalikuwa malengo yake kwamba kiwe kikubwa na kumpatia faida nzuri, maana chama ni mradi wake binafsi kwa ajili ya kuendesha maisha yake na familia yake.
 
Kuna mwenzenu CHOICE VARIABLE kaanzisha Uzi akilalamika Maiti ya Mtoto kushikiliwa Muhimbili kisa inadaiwa Pesa ya Matibabu,mnaonaje mkaanzisha Harambee ya kuchanga Pesa ili kusaidia kuikomboa maiti hiyo maana CHADEMA ndio wameizuia pale wanaidai
 
Kaa kwa kutulia.
 
Ndugu zangu Watanzani,

Wanasema chama cha siasa kilicho hai na uhai ni lazima kiwe mabarabarani na majukwaani. ni lazima kiwe midomoni mwa watu muda wote,ni lazima kitetewe vijiweni,magengeni,masokoni, viwanjani na sehemu yoyote yenye shamrashamra za watu.ni lazima kiwe kwenye ndoto za watu ,kwamba mtu akilala usingizi anajikuta anakiota chama husika na harakati zake huku yeye akiwa msitari wa mbele kukitetea ,kukipigania na kukisemea wakati wote kinaposemwa vibaya.

Ili chama kifikie hatua hiyo na kuwa na uwezo huo wa kuteka mioyo ya watu na kuwa midomoni mwao ni lazima kiwe kinaaminika mbele za watu ,kiwe na viongozi wenye Taswira na tabia nzuri katika macho ya jamii,ni lazima kiwe na safu ya uongozi madhubuti, imara, shupavu,yenye umoja , mshikamano, kauli moja na wenye msimamo wa pamoja usiyo yumba wala kuyumbishwa.ni lazima kiwe na Dira,muelekeo na shabaha maalumu.

Kufanikisha haya ni lazima viongozi husika wakubali kuumia, kujinyima,kujitoa na kujitolea ,kuteseka,kupoteza baadhi ya vitu au uhuru wao au marafiki zao au mali zao pamoja na maslahi yao binafsi ili kukifikisha chama katika kilele cha upendo wa mioyo ya watu. ni lazima wakiweke chama na maslahi yake mbele kuliko matumbo yao binafsi na maslahi yao.

CHADEMA kwa sasa imekosa vitu na mambo yote hayo niliyoyaeleza hapo juu,haina mshikamano wala muunganiko miongoni mwa viongozi wake,kila mtu anapigania tumbo lake ,kila mtu anaangalia upepo unavuma je,hayupo ambaye yupo tayari kupoteza kwa ajili ya chama,hayupo ambaye yupo tayari kuona kila senti inayopatikana inakwenda kukinufaisha chama moja kwa moja pasipo kumega kidogo.

Sasa CHADEMA imeshuka majukwaani na kupotea katika harakati za kuimarisha chama na kuwafikia wafuasi wake.hii ni baada ya kukumbwa na ukata mkubwa sana wa pesa pamoja na kutokuwepo kwa maelewano mazuri baina ya viongozi wa ngazi za juu hasa mwenyekiti na makamu wake ambao matokeo yake yamewagawa hadi wafuasi wake ,ambapo wapo walio upande wa mwenyekiti na wengine kwa makamu.

Huku chanzo kikubwa kikielezwa kuwa ni kutofautiana kwa misimamo na mitizamo juu ya masuala mbalimbali yanayopelekea kutuhumiana sana. Sasa CHADEMA imepotea katika vinywa na midomo ya watanzania,haipo barabarani wala mitaani wala masokoni wala akilini mwa watanzania.

Chama hakina pesa na hakielewi kipate wapi pesa.kurudi kwa wanachama kuomba misaada na michango hakiwezi kwa kuwa wanachadema wameshagoma kusikia habari za michango na badala yake wanataka ukaguzi maalumu wa fedha na mali zote za chama hicho.wanataka pesa za join the chain ielezwe zipo wapi? Zilikusanywa na kupatikana shilingi ngapi? Zimefanya kazi ipi na kwa utaratibu upi?

Sasa viongozi maji ya shingo wanaanza kuitana nyumbani kwa mwenyekiti kujaribu kuzimazima moto pasipo majibu ya msingi. Jambo ambalo linaendelea kukuza migogoro zaidi ,kwa kuwa viongozi wengine wanaanza kujiuliza mbona sisi hatujaitwa? Kwahiyo walioitwa ndio wenye thamani ndani ya chama? Ndio wenye umuhimu? Ndio wenye nguvu? Ndio sauti ya chama? Kwanini mwenyekiti anahamishia ofisi nyumbani kwake? Kwanini wasikutanie ofisini? Kwanini visiitwe vikao rasmi vya chama kuliko kuitana kwa kubaguana na kuangaliana sura?

Kwa hiyo kwa sasa inaonekana chama kimetupiwa mfukoni mwa Mbowe,yeye ndiye amebaki anatembea nacho popote aendapo na ndio maana anageuza makazi yake kuwa ofisi za chama na kuamua amwite nani na nani waende kwake na wajadili nini na wale nini na kiasi gani. Kwa hiyo ukiwa kwake hutakiwi kuanza kuleta ubishi ubishi na vurugu zako kwenye masofa yake aliyoyanunua kwa hela zake.unatakiwa kuwamtulivu na kukubali kila kitu kama kasuku na kuunga mkono kila mkakati.

Chama kimetekwa mateka na kimegota kifikira na kumtegemea mwenye kigoda tu. Tuendelee kuangalia kinachoendelea hapo ufipa na kuwaombea wenzetu ambao walishachukuliwa kama wajinga kwa kubadilishiwa gia hata mahali pasipo stahili kubadilisha gia.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
CHADEMA NI SACCOS YA MBOWE CHAMA KILISHA KUFA SIKU NYINGI ...WALITAKIWA KUMWONDOA MBOWE KWENYE UONGOZI
 
Ila Mbowe akiweza kuepuka tamaa ya pesa ni kiongozi mzuri na mwema sana. Mbowe ndo aliwashika mkono kina Mdee, Zitto, Mnyika, Lema na wengine wengi. Tatizo lilianza baada ya chama kuwa kikubwa na kuanza kupokea ruzuku nyingi. Kwa haraka akabadili katiba na kuwa mwenyekiti wa kudumu.
Mbowe aliwai kusema kuwa ....yeye mbele ya pesa ni kama chupi na tako
 
Ndugu zangu Watanzani,

Wanasema chama cha siasa kilicho hai na uhai ni lazima kiwe mabarabarani na majukwaani. ni lazima kiwe midomoni mwa watu muda wote,ni lazima kitetewe vijiweni,magengeni,masokoni, viwanjani na sehemu yoyote yenye shamrashamra za watu.ni lazima kiwe kwenye ndoto za watu ,kwamba mtu akilala usingizi anajikuta anakiota chama husika na harakati zake huku yeye akiwa msitari wa mbele kukitetea ,kukipigania na kukisemea wakati wote kinaposemwa vibaya.

Ili chama kifikie hatua hiyo na kuwa na uwezo huo wa kuteka mioyo ya watu na kuwa midomoni mwao ni lazima kiwe kinaaminika mbele za watu ,kiwe na viongozi wenye Taswira na tabia nzuri katika macho ya jamii,ni lazima kiwe na safu ya uongozi madhubuti, imara, shupavu,yenye umoja , mshikamano, kauli moja na wenye msimamo wa pamoja usiyo yumba wala kuyumbishwa.ni lazima kiwe na Dira,muelekeo na shabaha maalumu.

Kufanikisha haya ni lazima viongozi husika wakubali kuumia, kujinyima,kujitoa na kujitolea ,kuteseka,kupoteza baadhi ya vitu au uhuru wao au marafiki zao au mali zao pamoja na maslahi yao binafsi ili kukifikisha chama katika kilele cha upendo wa mioyo ya watu. ni lazima wakiweke chama na maslahi yake mbele kuliko matumbo yao binafsi na maslahi yao.

CHADEMA kwa sasa imekosa vitu na mambo yote hayo niliyoyaeleza hapo juu,haina mshikamano wala muunganiko miongoni mwa viongozi wake,kila mtu anapigania tumbo lake ,kila mtu anaangalia upepo unavuma je,hayupo ambaye yupo tayari kupoteza kwa ajili ya chama,hayupo ambaye yupo tayari kuona kila senti inayopatikana inakwenda kukinufaisha chama moja kwa moja pasipo kumega kidogo.

Sasa CHADEMA imeshuka majukwaani na kupotea katika harakati za kuimarisha chama na kuwafikia wafuasi wake.hii ni baada ya kukumbwa na ukata mkubwa sana wa pesa pamoja na kutokuwepo kwa maelewano mazuri baina ya viongozi wa ngazi za juu hasa mwenyekiti na makamu wake ambao matokeo yake yamewagawa hadi wafuasi wake ,ambapo wapo walio upande wa mwenyekiti na wengine kwa makamu.

Huku chanzo kikubwa kikielezwa kuwa ni kutofautiana kwa misimamo na mitizamo juu ya masuala mbalimbali yanayopelekea kutuhumiana sana. Sasa CHADEMA imepotea katika vinywa na midomo ya watanzania,haipo barabarani wala mitaani wala masokoni wala akilini mwa watanzania.

Chama hakina pesa na hakielewi kipate wapi pesa.kurudi kwa wanachama kuomba misaada na michango hakiwezi kwa kuwa wanachadema wameshagoma kusikia habari za michango na badala yake wanataka ukaguzi maalumu wa fedha na mali zote za chama hicho.wanataka pesa za join the chain ielezwe zipo wapi? Zilikusanywa na kupatikana shilingi ngapi? Zimefanya kazi ipi na kwa utaratibu upi?

Sasa viongozi maji ya shingo wanaanza kuitana nyumbani kwa mwenyekiti kujaribu kuzimazima moto pasipo majibu ya msingi. Jambo ambalo linaendelea kukuza migogoro zaidi ,kwa kuwa viongozi wengine wanaanza kujiuliza mbona sisi hatujaitwa? Kwahiyo walioitwa ndio wenye thamani ndani ya chama? Ndio wenye umuhimu? Ndio wenye nguvu? Ndio sauti ya chama? Kwanini mwenyekiti anahamishia ofisi nyumbani kwake? Kwanini wasikutanie ofisini? Kwanini visiitwe vikao rasmi vya chama kuliko kuitana kwa kubaguana na kuangaliana sura?

Kwa hiyo kwa sasa inaonekana chama kimetupiwa mfukoni mwa Mbowe,yeye ndiye amebaki anatembea nacho popote aendapo na ndio maana anageuza makazi yake kuwa ofisi za chama na kuamua amwite nani na nani waende kwake na wajadili nini na wale nini na kiasi gani. Kwa hiyo ukiwa kwake hutakiwi kuanza kuleta ubishi ubishi na vurugu zako kwenye masofa yake aliyoyanunua kwa hela zake.unatakiwa kuwamtulivu na kukubali kila kitu kama kasuku na kuunga mkono kila mkakati.

Chama kimetekwa mateka na kimegota kifikira na kumtegemea mwenye kigoda tu. Tuendelee kuangalia kinachoendelea hapo ufipa na kuwaombea wenzetu ambao walishachukuliwa kama wajinga kwa kubadilishiwa gia hata mahali pasipo stahili kubadilisha gia.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
Umemsifia Samia weee kakukaushia,ukahamia kwa Tulia umesifia weee naye kakukaushia,ukaja kwa Makonda naye kakupotezea sasa umejipa usemaji wa Chadema,hakika limelaaniwa tumbo lililobeba takataka wewe kwa miezi tisa. Kusema kweli wewe unaifedhehesha familia na ukoo wako.
 
Nilishakwambia mdogo wangu SAGAI GALGANO kuwa achana na hiyo mibangi unayovuta kupita kiasi kama mwendawazimu. Inakuharibu akili yako.
 
1700148005988.jpg

Hiyo namba unatafuta bwana au unaomba msaada kiaina
Screenshot_20231116-190930.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom