Shikamoo CHADEMA migogoro

MIMI BABA YENU

JF-Expert Member
Mar 1, 2019
295
679
Ni kweli CHADEMA kunafukuta

Chadema Kuna Mgogoro Kati ya Lissu na Mbowe !!

Lakini pia tusisahau kuwa kuna migogoro mingine

Kuna mgogoro kati ya Lema na Mbowe, hali inamfanya Lema kuanza harakati za chini chini za kujitoa CHADEMA na kujiunga na ACT- Wazalendo

Kuna mgogoro kati ya Lema na wanachama wa Chadema ambao ni waumini wa dini ya Kiislamu pamoja viongozi wa dini hiyo nchini kufuatia kuwatusi pamoja kudai kuwa amekuwa akila kitimoto.

Kuna mgogoro baina ya Mbowe na Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Zanzibar Said Issa Mohamed, kufutia makamu huyo mwenyekiti kushiriki katika Mkutano wa Baraza la vyama vya siasa.

Kuna mgogoro baina ya Jon Mrema na Lema, kutokana na Lema kitumia akaunti yake ya kificho ya Tanzania Leaks kuichafua CHADEMA.

Kuna mgogoro kati ya Halimshauri ya kuu ya CHADEMA na Wabunge 19 wa Viti Maalum wa CHADEMA, kufuatia Halmashauri Kuu hiyo kuwafuta uanachama Wabunge hao kihuni pasipo kufuata katiba ya chama hicho.

Kuna mgogoro baina ya viongozi wa CHADEMA wenye asili ya kutokea katika Mikoa ya Kaskazini na viongozi wengine wanye asili ya Mikoa mingine nchini hii ni kutoka kutokana na viongozi wenye asili ya Kaskazini kupewa kipaumbale katika nafasi za uongozi kuliko wanachama wanaotokea katika Mikoa mingine.

Kuna mgogoro baina ya Mbowe na viongozi wa juu wa CHADEMA kutokana na Mbowe kuwa Sultan ndani ya chama "Mwenyekiti wa kudumu wa chama" na kutoonesha hata chembe ya kutaka kung'utuka katika nafasi hiyo ili kuwapa fursa viongozi wengine kuweza kushika nafasi hiyo.

Viongozi wa CHADEMA wanaponyoosha kidole Kwa viongozi wa Serikali watazame vidole vyao vingali vimewageukia wao.

Kabla ya kutoa kibanzi Katika jicho la mwenzio basi jitoe kwanza wewe boriti iliyo Katika jicho lako

Ni Mimi ni mpeku mpekuzi

Sauti ya busara

Msema Ukweli

Ni mimi Yule yule mzee wa kudele.
 
Holy Crap
 
Unaishi dunia gani?!
 
Pumba tu Hii....
 
Hiyo migogoro ya kizushi umeileta wewe. Lema kwenda ACT Wazalendo haiwezekani
 
"Kuna mgogoro kati ya Lema na Mbowe, hali inamfanya Lema kuanza harakati za chini chini za kujitoa CHADEMA na kujiunga na ACT- Wazalendo"

Maisha, Lema huyu Jirani yangu hawezi amia ACT kwa namna yeyote, muachege umbea na mambo ya wanaume, mtakuja kupata shida.
 
Ni kweli CHADEMA kunafukuta

Chadema Kuna Mgogoro Kati ya Lissu na Mbowe !!

Lakini pia tusisahau kuwa kuna migogoro mingine

Kuna mgogoro kati ya Lema na Mbowe, hali inamfanya Lema kuanza harakati za chini chini za kujitoa CHADEMA na kujiunga na ACT- Wazalendo

Kuna mgogoro kati ya Lema na wanachama wa Chadema ambao ni waumini wa dini ya Kiislamu pamoja viongozi wa dini hiyo nchini kufuatia kuwatusi pamoja kudai kuwa amekuwa akila kitimoto.

Kuna mgogoro baina ya Mbowe na Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Zanzibar Said Issa Mohamed, kufutia makamu huyo mwenyekiti kushiriki katika Mkutano wa Baraza la vyama vya siasa.

Kuna mgogoro baina ya Jon Mrema na Lema, kutokana na Lema kitumia akaunti yake ya kificho ya Tanzania Leaks kuichafua CHADEMA.

Kuna mgogoro kati ya Halimshauri ya kuu ya CHADEMA na Wabunge 19 wa Viti Maalum wa CHADEMA, kufuatia Halmashauri Kuu hiyo kuwafuta uanachama Wabunge hao kihuni pasipo kufuata katiba ya chama hicho.

Kuna mgogoro baina ya viongozi wa CHADEMA wenye asili ya kutokea katika Mikoa ya Kaskazini na viongozi wengine wanye asili ya Mikoa mingine nchini hii ni kutoka kutokana na viongozi wenye asili ya Kaskazini kupewa kipaumbale katika nafasi za uongozi kuliko wanachama wanaotokea katika Mikoa mingine.

Kuna mgogoro baina ya Mbowe na viongozi wa juu wa CHADEMA kutokana na Mbowe kuwa Sultan ndani ya chama "Mwenyekiti wa kudumu wa chama" na kutoonesha hata chembe ya kutaka kung'utuka katika nafasi hiyo ili kuwapa fursa viongozi wengine kuweza kushika nafasi hiyo.

Viongozi wa CHADEMA wanaponyoosha kidole Kwa viongozi wa Serikali watazame vidole vyao vingali vimewageukia wao.

Kabla ya kutoa kibanzi Katika jicho la mwenzio basi jitoe kwanza wewe boriti iliyo Katika jicho lako

Ni Mimi ni mpeku mpekuzi

Sauti ya busara

Msema Ukweli

Ni mimi Yule yule mzee wa kudele.
Umeandika porojo tu. Hizo ni ndoto za wanaccm wengi lakini ukweli ni kuwa wananchi wanarudisha kadi za CCM kama moto wa nyika na ndiyo asili ya ngonjera kama hii na ndiyo maana bimkubwa anatoa povu kama amefakamia omo.
 
Kikosi cha chawa wa Samia kimevamia JamiiForums!
Mnaposti upumbavu mpaka basi.
CCM kwa sasa haisafishiki tena
Mgao wa Umeme.
DP-WORLD.
Loliondo.
Ngorongoro.
Abdul Uganda.
Kashfa ya pesa bilioni. ishirini za polisi.
MV magogoni.
Uhaba wa Maji mijini na vijijini.
Ufisadi katika halmashauri TAMISEMI.

Duh!.....Chawa mtakufa kwa moto wa Pasi.
Sasa hivi ni zamu ya Nachingwea....
 
Ni kweli CHADEMA kunafukuta

Chadema Kuna Mgogoro Kati ya Lissu na Mbowe !!

Lakini pia tusisahau kuwa kuna migogoro mingine

Kuna mgogoro kati ya Lema na Mbowe, hali inamfanya Lema kuanza harakati za chini chini za kujitoa CHADEMA na kujiunga na ACT- Wazalendo

Kuna mgogoro kati ya Lema na wanachama wa Chadema ambao ni waumini wa dini ya Kiislamu pamoja viongozi wa dini hiyo nchini kufuatia kuwatusi pamoja kudai kuwa amekuwa akila kitimoto.

Kuna mgogoro baina ya Mbowe na Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Zanzibar Said Issa Mohamed, kufutia makamu huyo mwenyekiti kushiriki katika Mkutano wa Baraza la vyama vya siasa.

Kuna mgogoro baina ya Jon Mrema na Lema, kutokana na Lema kitumia akaunti yake ya kificho ya Tanzania Leaks kuichafua CHADEMA.

Kuna mgogoro kati ya Halimshauri ya kuu ya CHADEMA na Wabunge 19 wa Viti Maalum wa CHADEMA, kufuatia Halmashauri Kuu hiyo kuwafuta uanachama Wabunge hao kihuni pasipo kufuata katiba ya chama hicho.

Kuna mgogoro baina ya viongozi wa CHADEMA wenye asili ya kutokea katika Mikoa ya Kaskazini na viongozi wengine wanye asili ya Mikoa mingine nchini hii ni kutoka kutokana na viongozi wenye asili ya Kaskazini kupewa kipaumbale katika nafasi za uongozi kuliko wanachama wanaotokea katika Mikoa mingine.

Kuna mgogoro baina ya Mbowe na viongozi wa juu wa CHADEMA kutokana na Mbowe kuwa Sultan ndani ya chama "Mwenyekiti wa kudumu wa chama" na kutoonesha hata chembe ya kutaka kung'utuka katika nafasi hiyo ili kuwapa fursa viongozi wengine kuweza kushika nafasi hiyo.

Viongozi wa CHADEMA wanaponyoosha kidole Kwa viongozi wa Serikali watazame vidole vyao vingali vimewageukia wao.

Kabla ya kutoa kibanzi Katika jicho la mwenzio basi jitoe kwanza wewe boriti iliyo Katika jicho lako

Ni Mimi ni mpeku mpekuzi

Sauti ya busara

Msema Ukweli

Ni mimi Yule yule mzee wa kudele.
Aisee huna mada nyingine. Maana huu ni utumbo
 
Ukiona hivyo huenda ni kazi ya wale jamaa wa Makumbusho ambao wanataka kukisambaratisha chama!
Lakini hata hivyo naona bado chama kiko imara!
 
Back
Top Bottom