KIDUNDULIMA
JF-Expert Member
- Aug 18, 2010
- 966
- 538
'Vyama vya siasa vilivyoandikishwa ni 18 lakini hakuna hata chama kimoja ukiviweka kwenye mizani katakachofikia CCM. Chagua CCM chagua Kikwete'.
Hakuna atakayekifikia ccm Kwa uvurugaji na uwizi na uzandiki, na ushirikina, na ubabaishaji, na unyanyasaji, na ufitini, na uropokaji, na ukora na ukabaila!'Vyama vya siasa vilivyoandikishwa ni 18 lakini hakuna hata chama kimoja ukiviweka kwenye mizani katakachofikia CCM. Chagua CCM chagua Kikwete'.
'Vyama vya siasa vilivyoandikishwa ni 18 lakini hakuna hata chama kimoja ukiviweka kwenye mizani katakachofikia CCM. Chagua CCM chagua Kikwete'.
'vyama vya siasa vilivyoandikishwa ni 18 lakini hakuna hata chama kimoja ukiviweka kwenye mizani katakachofikia ccm. Chagua ccm chagua kikwete'.
Yaani tuchague chama cha mafisadi? Nina wasiwasi na wewe, wanaochagua ccm ni kama Ridhwani, ukiona kuwa unashabikia chama fisadi ujue unafaidi masalia ya ufisadi, unadhani wajukuu wako elimu bora wataiona Dr Slaa asipokuwa Rais? Ulie tu, subiri uone watu walivo jiandaa kupiga kura za kuondoa usultni madarakani.
'Vyama vya siasa vilivyoandikishwa ni 18 lakini hakuna hata chama kimoja ukiviweka kwenye mizani katakachofikia CCM. Chagua CCM chagua Kikwete'.
Hivi kuna uwezekano kuwa wanaopata ni wateja wa Mitandao fulani tu? Mi natumia tigo, tangu wameanza msg za kipumbavu nazisikia kwa wengine tu. Kuna mtu anatumia tiGo amepata msg za aina hii toka CCM?