Ujumbe kwa Watanzania katika gari la Mh.GODLESS LEMA

baada ya maandishi vitendo tuvione lakini ikiishia kwenye maandishi inakosa maana! Tumezoea kuona maneno mazuri kwenye mabango ya wanajiita wanaharakati lakini vitendo huwa duni siku zote! Katika hili mr.Lema nitakusifu nikiona vitendo vya dhahiri na sasa naomba niliweke moyoni!

Lema ni kamanda hata ktk maandamo huwa mstari wa mbele au hukuwahi kumuona alivyopigwa na polisi mpaka kulazwa hospital ya Mount Meru.@QUOTE
 
Asante kwa kukusanya ushahidi wa ICC kwenye kesi ya mauaji ya Arusha na role ya Slaa na Lema.
 
MH lema I cant find words to congratulate you. Ujumbe una maana sana. watu/vijana amkeni sasa. Inawezekana kabisa
 
Picture+027.jpg
Picture+026.jpg

Nimeupenda na kama kijana wa kutafuta haki unafaa kwa mwamko kwa walio lala
 
Watanzania ni mda wa kuidai haki mwanzo mwisho LEMA ni shujaaa asiye ogopa aliye tayari kwa lolote mda wowote hivyo watanzania tuunge mkopo jitihada za kuleta mapinduzi ya kweli
 
Back
Top Bottom