Ujue una laana kama.......................... ........

Tahazari: Rejao ni mbahili sometime anajikopesha mwenyewe.
Hahahaha,
Km hujui ni kwamba Huby wangu anawabania nyie tu,
Kwa kuhakikishia hilo tangu usiku wa jana kanimilikisha ufunguo wa seifu na pasiwedi za atm zake lol!
Nakushukuru kwan wezi wote watakaa mbali na Rejao wangu.
 
Usisahau Rejao anafanya kazi ya ulinzi wa magari, usije ukatafutwa ukaisaidie polisi. Think! canta think!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom