Ujue una laana kama.......................... ........

Usisahau Rejao anafanya kazi ya ulinzi wa magari, usije ukatafutwa ukaisaidie polisi. Think! canta think!
Sina wasi wasi na hilo kwan loya upo tutakukatia mkwanja wa maana utasimamia kesi km hizo,
Isitoshe hata km angekua mgambo wa jiji,kwake sion wala sisikii,
Nimekwama kwa rejao na kunasuliwa sitaki mie!!
 
Dah! hapa kimewaka! acha nimtafte keren happuch wangu. Halaf hasira zangu mchango wa harusi stoi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom