Ujue una laana kama.......................... ........

Ukiwa mganga, unatangaza kuwapa watu utajiri wakati wewe ni masikini wa kutupwa!
 
Wewe Jibaba/Jimama zima unapewa shkamoo,
unaipotezea!
"Oooh we mtoto unataka kun'nyima nini ? Mamboo! ? "
Laanakum tu!
 
Wewe Jibaba/Jimama zima unapewa shkamoo,
unaipotezea!
"Oooh we mtoto unataka kun'nyima nini ? Mamboo! ? "
Laanakum tu!

Akitoa shkamoo mtoto wa kike kwa mdingi kijana inajibiwa "safi" au "asante" then anaambiwa "una heshma sana binti mrembo, una huruma pia?". Lol, mjini sio magorofa tu!
 
Akitoa shkamoo mtoto wa kike kwa mdingi kijana inajibiwa "safi" au "asante" then anaambiwa "una heshma sana binti mrembo, una huruma pia?". Lol, mjini sio magorofa tu!

hahahaha huruma ya nini sasa? Kweli laana hii!
 
Kujiunga JF tokea 2007 na 2008 halafu bado hujapata uprimium member!! ........
MP.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom