CM 1774858
JF-Expert Member
- May 29, 2021
- 5,084
- 4,295
Kwahiyo unataka Rais akifanya vizuri asifiwe na BAVICHA?Uvccm wenzangu Uchawa hatuatujenga kisiasa Bali unazidi kutubomoa kila uchao,Tutaendela kuwaangalia kina Katambi na Silinde(vijana toka vyama vingine) wakishika Hatamu sisi tuendelee na propaganda za kijinga kusifia hata visivyofika