UJIJI: Wazee wa UJIJI -KIGOMA wasema hawajawahi kuona Kiongozi aliyeujaza Uwanjani wa Lake Tanganyika kama Rais Samia

Uvccm wenzangu Uchawa hatuatujenga kisiasa Bali unazidi kutubomoa kila uchao,Tutaendela kuwaangalia kina Katambi na Silinde(vijana toka vyama vingine) wakishika Hatamu sisi tuendelee na propaganda za kijinga kusifia hata visivyofika
Kwahiyo unataka Rais akifanya vizuri asifiwe na BAVICHA?
 
Kumsikiliza kiongozi mkuu wa nchi ni muhimu mno. Hotuba na maelekezo yake yana mantiki pana mno ktk maisha yako, yangu na ya watu wote. Hata kama hatokani na chama chako as long as ni president unapaswa kumsikiliza. Halazimishwi mtu ila ni muhimu mno.
Sio Africa
 
Back
Top Bottom